Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?
images (1)-1.jpeg
 
Kama kichwa kinavyojieleza na pia makada ambao wanajisifu watoto wa mama ambao wapo Lumumba leo wanaenda mpigia magoti bosi mpya SALIM KIKEKE ambaye ndiye anaenda kuwa muenezi wa CCM.
Mnaobaki endeleeni kusema mama anaupiga mwingi kongole sana KIKEKE
Anaenda kuharibu cv yake alioitengeneza kwa muda mrefu sasa
 
Hata akipatikana hadumu hata miezi minne,ni ku-waste calories tu kuombea vitu vya kijinga.
 
Makada ambao wanajisifu watoto wa mama ambao wapo Lumumba leo wanaenda mpigia magoti bosi mpya SALIM KIKEKE ambaye ndiye anaenda kuwa Mwenezi wa CCM.

Mnaobaki endeleeni kusema mama anaupiga mwingi kongole sana KIKEKE

Duuh Sisiemu hawawezi kufanya huo Upuuzi.
 
Yaan pamoja na umaarufu Salim Kikeke hawezi kua Mwenezi wa CCM sababu hio nafasi hamtoshi ni kubwa mno kwake kubwa sana hatoshi hata kidogo
Yaani Nape alitosha pamoja na uwezo wake mdogo ndio KKK asiweze?
Labda kama una maana ya kupiga kamati ya ufundi sawa na kwakuwa hicho kitengo hakihitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiria sawa.
 
Makada ambao wanajisifu watoto wa mama ambao wapo Lumumba leo wanaenda mpigia magoti bosi mpya SALIM KIKEKE ambaye ndiye anaenda kuwa Mwenezi wa CCM.

Mnaobaki endeleeni kusema mama anaupiga mwingi kongole sana KIKEKE
Katibu mwenezi lazima awe mtu ambaye hazipo sawa kidogo kichwani bila hivyo atashindwa kazi yake.
 
Hii ndio habari inayotrend kwa sasa, makada kadhaa wa CCM wanasema kwa namna siasa za sasa zinavyokwenda bila kupata chawa mwenye wafuasi wengi mitandaoni na mwenye uwezo wa kujitoa ufahamu kumsifia mama Samia huku akiwananga watu wengine wote wenye mwelekeo tofauti na Mama Samia basi hali itaendelea kuwa mbaya na kila mara atatafutwa mtu wa kushika nafasi ya katibu mwenezi wa CCM taifa. Bila kupepesa macho, jina la Mwijaku ndio likapewa nafasi kubwa zaidi.

Hii ni zamu ya chawa kutafuna fursa za taifa kwa kilemba cha CCM.
Ni kweli Katibu mwenezi CCM lazima awe mtu hazipo sawa sana kichwani na asiwe mtu mstaarabu.
 
Hii ndio habari inayotrend kwa sasa, makada kadhaa wa CCM wanasema kwa namna siasa za sasa zinavyokwenda bila kupata chawa mwenye wafuasi wengi mitandaoni na mwenye uwezo wa kujitoa ufahamu kumsifia mama Samia huku akiwananga watu wengine wote wenye mwelekeo tofauti na Mama Samia basi hali itaendelea kuwa mbaya na kila mara atatafutwa mtu wa kushika nafasi ya katibu mwenezi wa CCM taifa. Bila kupepesa macho, jina la Mwijaku ndio likapewa nafasi kubwa zaidi.

Hii ni zamu ya chawa kutafuna fursa za taifa kwa kilemba cha CCM.
Ccm inaenda kujifukia taratibu
 
Anawafaaa kuliko yule jamaa
 
Back
Top Bottom