Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?
Hayawi hayawi yamekuwa Kama Paulo Makonda karudishwa pamoja na yote aliyoyafanya Wakati wa UTAWALA KATILI kupata kutokea wa MWENDAZAKE kwanini SABAYA nae ASILAMBE TEUZI?

Ni wazi CCM haijali Mambo mabaya yaliyotendwa na Makada wake kwa WANANCHI bado inawateua kushika nafasi mbalimbali kwenye CHAMA na SERIKALI.

Kutokana na CCM kutokujali ni wazi TUTARAJIE SABAYA pamoja na kuwadhurumu fedha wafanyabiashara huko Arusha naamini kwa UTAWALA HUU Atalamba TEUZI na kuwa KATIBU wa ITIKADI.

Kila la Heri SABAYA
as long as wanamsaidia ku cement ukatili wake, na wao wakiwa makatili waliokubuhu, basi atawateua
 
namuuliza Samia, huu ushungi anauvaa ni kumuenzi Mungu na kutii amri ake au danganya toto? Huwezi kuwa mshika dini wa ushungi kama alama ya kushika dini, ukawa rais mkatili kiasi hiki
 
Chama cha mapinduzi CCM ndani ya miaka minne ya Samia wamebadili makatibu wenezi karibu watatu.
Imefika hatua leo waanza kutafuta makatibu wenezi kwa tochi tena mchana, chama ambacho kinajinasibu kina viongozi makini, vijana makini leo wakumuwaza Mwijaku kweli?Wakumuwaza Dotto magari kweli?
Vijana wa Lumumba mjitafakari ambao mnajiita CCM kindakindaki leo hamna sifa ya kupewa uenezi jambo la aibu sana mkiambiwa CCM imefilisika kimawazo mnapinga.
Hiyo haitoshi mpaka mnawaza tena kupangua wakuu wa mikoa waje kushika hiyo nafasi wakati mnavijana wengi.
SIna mengi ila HONGERA SALIM KIKEKE KWA KWENDA KUTEULIWA KUWA KATIBU MUENEZI CCM
utabiri wangu nafasi hii iko wazi kwa aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa mwanza.
 
Kupitia hizi ramli za social media ndio mnazidi kumuharibia Kikeke. Maana hata kama kulikuwa na dhamira ya kumpa chochote kile inabidi waghairishe kuepuka kuonekana siri za ndani zinavuja kabla.
 
Hii ndio habari inayotrend kwa sasa, makada kadhaa wa CCM wanasema kwa namna siasa za sasa zinavyokwenda bila kupata chawa mwenye wafuasi wengi mitandaoni na mwenye uwezo wa kujitoa ufahamu kumsifia mama Samia huku akiwananga watu wengine wote wenye mwelekeo tofauti na Mama Samia basi hali itaendelea kuwa mbaya na kila mara atatafutwa mtu wa kushika nafasi ya katibu mwenezi wa CCM taifa. Bila kupepesa macho, jina la Mwijaku ndio likapewa nafasi kubwa zaidi.

Hii ni zamu ya chawa kutafuna fursa za taifa kwa kilemba cha CCM.
Mbona yatakua masihala
 
Hayawi hayawi yamekuwa Kama Paulo Makonda karudishwa pamoja na yote aliyoyafanya Wakati wa UTAWALA KATILI kupata kutokea wa MWENDAZAKE kwanini SABAYA nae ASILAMBE TEUZI?

Ni wazi CCM haijali Mambo mabaya yaliyotendwa na Makada wake kwa WANANCHI bado inawateua kushika nafasi mbalimbali kwenye CHAMA na SERIKALI.

Kutokana na CCM kutokujali ni wazi TUTARAJIE SABAYA pamoja na kuwadhurumu fedha wafanyabiashara huko Arusha naamini kwa UTAWALA HUU Atalamba TEUZI na kuwa KATIBU wa ITIKADI.

Kila la Heri SABAYA
Atafaa sana
 
Hii ndio habari inayotrend kwa sasa, makada kadhaa wa CCM wanasema kwa namna siasa za sasa zinavyokwenda bila kupata chawa mwenye wafuasi wengi mitandaoni na mwenye uwezo wa kujitoa ufahamu kumsifia mama Samia huku akiwananga watu wengine wote wenye mwelekeo tofauti na Mama Samia basi hali itaendelea kuwa mbaya na kila mara atatafutwa mtu wa kushika nafasi ya katibu mwenezi wa CCM taifa. Bila kupepesa macho, jina la Mwijaku ndio likapewa nafasi kubwa zaidi.

Hii ni zamu ya chawa kutafuna fursa za taifa kwa kilemba cha CCM.
Kwanza nianze kumshukuru Mama kwa kuwa sasa ni asubuhi
Pili naunga mkono hoja
 
Wamtafute hata mtoto wa Iddi Amin au mtoto wa Osama. Wakishindwa wakamkodi hata Hamas mmoja aje awe mwenezi.
 
Back
Top Bottom