Namtazama Jokate kama mtu anayetosha na anayefaa kuwa Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Kwa sababu zifuatazo:
Kwanza, ni mtu aliyetulia kimaamuzi.
Pili, ana ushawishi wa kutosha kwenye jamii Kwa makundi yote.
Tatu, ana uwezo wa kuhamasisha makundi mbalimbali.
Nne, ameonesha uwezo wa juu pote alipokuwa na hata Sasa akiwa Katibu mkuu wa UWT.
Tano, ili kuleta uwiano wa kijinsia Kwa wajumbe wa sekretarieti ya CCM ni vema nafasi ya unaibu Katibu mkuu wa CCM au ukatibu wa NEC itikadi na uenezi akapewa mwanamke. Na hapa namuona Jokate.
Tafadhali NEC pitisheni jina la Jokate kwenye hiyo nafasi ,anafaa na anatosha.