johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Usambara wanasubiri kwa hamu watu wazuri hawafi!Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono [emoji3][emoji3]
I predict, Balozi Polepole naona atarudi kwenye nafasi yake ya Katibu Mwenezi
Kwa hiyo tujiandae kwa ajili ya shule ya uongozi?I predict, Balozi Polepole naona atarudi kwenye nafasi yake ya Katibu Mwenezi
AmbarutyAlly Happy
Amos Makala
Albert Chalamila
Kwa vyovyote vile, jina la mwenezi mpya litaanza na "A"
Ni Mwamvita Naniliu πΌAlly Happy
Amos Makala
Albert Chalamila
Kwa vyovyote vile, jina la mwenezi mpya litaanza na "A"
Ni CPA na siyo CPLAnaiweza hiyo ila CPL Makalla hamna kitu.
JotiAmbaruty
Watamchosha tu yule mlokole wa V8, wamuache tu atupe connection za kwenda kutibiwa kule Cuba.I predict, Balozi Polepole naona atarudi kwenye nafasi yake ya Katibu Mwenezi
Inaelekea mabwanyenye wa GMS ndio wanapanga viongozi sasa. Safari hii sijui wameshawasikia wale waarabu wa gsm. Inaonekana kama mabwanyenye wengine na fisadi wapigaji hawakufurahi na uteuzi wa makonda hivyo kuagiza afukuzwe mara moja toka cheo chochote. Mama kumpa u RC wamekasirika hivyo kumzushia kesi mahakamani hata bila ya kuheshimi kwamba yeye ni RC mteule. Hakika nchi inashikwa na mafioso wa kila aina kwa kasi kubwa. Magufuli Rip.Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono ππ
Ongexa sabayaAlly Happy
Amos Makala
Albert Chalamila
Kwa vyovyote vile, jina la mwenezi mpya litaanza na "A"