Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 5,352 Reaction score 15,876 May 4, 2026 #1 View: https://www.youtube.com/live/K8FOhiBhit4
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 May 4, 2026 #2 Kwani bado hadi leo hayajafanyika hayo maridhiano?Mbona vyama 13+ na CCM walikubaliana kujiridhia?Mkwamo unatokea wapi tena?Au vizabizabina na wenye hila na nongwa wamekwamisha zoezi?
Kwani bado hadi leo hayajafanyika hayo maridhiano?Mbona vyama 13+ na CCM walikubaliana kujiridhia?Mkwamo unatokea wapi tena?Au vizabizabina na wenye hila na nongwa wamekwamisha zoezi?
denoo G JF-Expert Member Joined Apr 4, 2026 Posts 1,590 Reaction score 4,952 May 4, 2026 #3 Sijawahi kumuelewa huyo kiumbe.
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 May 4, 2026 #4 Hayo "Maridhiano" walikua wapi kuyafanya mwaka jana waliposhauriwa?