Mwenezi wa BAVICHA, Siglada Mligo aelezea tukio la kupigwa na kulazwa hospitalini

DodomaTZ

Senior Member
Joined
May 20, 2022
Posts
197
Reaction score
233
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAVICHA), Siglada Mligo, ameendelea kufichua kwa undani tukio lililompelekea kupigwa na hatimaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi.

Kwa mujibu wa Mligo, tukio hilo lilitokea wakati wa kikao cha ndani cha wanachama wa CHADEMA kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche. Kikao hicho kilifanyika mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika siku hiyo.

Mligo anadai kuwa wakati wa kikao hicho, alimuomba Heche fursa ya kuzungumza ili kuweka wazi baadhi ya masuala kwa ajili ya mustakabali wa chama. Hata hivyo, badala ya kupokelewa kwa hoja zake, alijikuta akikaripiwa vikali na Heche, hatua iliyofikia hadi kutolewa nje ya kikao kwa nguvu.

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Baada ya kufukuzwa kutoka kikaoni, Mligo anasema alimtumia Heche ujumbe wa simu akiomba kuruhusiwa kurejea na kutoa mchango wake. Hata hivyo, badala ya kujibiwa, alidai kuwa kundi la vijana lilitumwa kumfuata, miongoni mwao akiwa mlinzi wa Heche, ambaye alimshambulia vibaya na kumsababishia majeraha makubwa.

Kwa mujibu wa Mligo, kilio chake cha maumivu kilisababisha askari waliokuwa kwenye doria kuingilia kati na kumsaidia. Askari hao walimkimbiza katika kituo cha afya kwa ajili ya matibabu.

Ukiangalia mlolongo wa tukio hili, ni dhahiri kuwa shambulio dhidi ya Mligo lilifanywa kwa makusudi, kwa lengo la kumzuia kushiriki tena kwenye kikao hicho. Swali linabaki: Je, CHADEMA kweli ni chama cha demokrasia? Chama kinachojiita cha kidemokrasia kinaweza kumdhuru mwanachama wake, tena mwanamke, kwa sababu ya tofauti za kimtazamo?

Ni wazi sasa kwamba CHADEMA chini ya uongozi wa Tundu Lissu na John Heche kinaendeshwa kwa mkono wa chuma. Wale wote wanaoonekana kuwa wafuasi wa Freeman Mbowe au wasioonyesha utii kwa Lissu wanachukuliwa kama maadui.

Tunatoa wito kwa wanaharakati wa haki za binadamu na haki za wanawake kupaza sauti kwa niaba ya Siglada Mligo. Ni muhimu kuhakikisha anapata haki yake na pia kushinikiza CHADEMA na Heche kumuomba msamaha na kugharamia matibabu yake kikamilifu.

Ukatili huu haupaswi kufumbiwa macho. Ni muhimu kuukemea sasa kabla uongozi huu wa CHADEMA haujafikia hatua ya kuhatarisha maisha ya wanachama wao kwa sababu tu ya tofauti za kimtazamo.

Huyo dada amezidiwa na konyagi alizofakamia kwa fujo,nashangaa mazuzu walivyolishupalia hili sakata la huyo chapombe, matapishi aliyokuwa anatapika ni konyagi tupu.
 
Sema hili suala lina ukakasi mwingi. Na ifikie wakati CHADEMA wayavunje haraka makundi yao yaliyosababishwa na uchaguzi wao wa ndani, ili chama chao kipige hatua ya kwenda mbele.
Mbowe amegoma kuachia kiti kwa mlongo wa nyuma.
Alitakiwa atangaze hadharani kuvunja kambi yake na kuunga mkono uongozi mpya.

Matokeo yake amejifichs...huu ni unafiki
 
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAVICHA), Siglada Mligo, ameendelea kufichua kwa undani tukio lililompelekea kupigwa na hatimaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi.

Kwa mujibu wa Mligo, tukio hilo lilitokea wakati wa kikao cha ndani cha wanachama wa CHADEMA kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche. Kikao hicho kilifanyika mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika siku hiyo.

Mligo anadai kuwa wakati wa kikao hicho, alimuomba Heche fursa ya kuzungumza ili kuweka wazi baadhi ya masuala kwa ajili ya mustakabali wa chama. Hata hivyo, badala ya kupokelewa kwa hoja zake, alijikuta akikaripiwa vikali na Heche, hatua iliyofikia hadi kutolewa nje ya kikao kwa nguvu.

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Baada ya kufukuzwa kutoka kikaoni, Mligo anasema alimtumia Heche ujumbe wa simu akiomba kuruhusiwa kurejea na kutoa mchango wake. Hata hivyo, badala ya kujibiwa, alidai kuwa kundi la vijana lilitumwa kumfuata, miongoni mwao akiwa mlinzi wa Heche, ambaye alimshambulia vibaya na kumsababishia majeraha makubwa.

Kwa mujibu wa Mligo, kilio chake cha maumivu kilisababisha askari waliokuwa kwenye doria kuingilia kati na kumsaidia. Askari hao walimkimbiza katika kituo cha afya kwa ajili ya matibabu.

Ukiangalia mlolongo wa tukio hili, ni dhahiri kuwa shambulio dhidi ya Mligo lilifanywa kwa makusudi, kwa lengo la kumzuia kushiriki tena kwenye kikao hicho. Swali linabaki: Je, CHADEMA kweli ni chama cha demokrasia? Chama kinachojiita cha kidemokrasia kinaweza kumdhuru mwanachama wake, tena mwanamke, kwa sababu ya tofauti za kimtazamo?

Ni wazi sasa kwamba CHADEMA chini ya uongozi wa Tundu Lissu na John Heche kinaendeshwa kwa mkono wa chuma. Wale wote wanaoonekana kuwa wafuasi wa Freeman Mbowe au wasioonyesha utii kwa Lissu wanachukuliwa kama maadui.

Tunatoa wito kwa wanaharakati wa haki za binadamu na haki za wanawake kupaza sauti kwa niaba ya Siglada Mligo. Ni muhimu kuhakikisha anapata haki yake na pia kushinikiza CHADEMA na Heche kumuomba msamaha na kugharamia matibabu yake kikamilifu.

Ukatili huu haupaswi kufumbiwa macho. Ni muhimu kuukemea sasa kabla uongozi huu wa CHADEMA haujafikia hatua ya kuhatarisha maisha ya wanachama wao kwa sababu tu ya tofauti za kimtazamo.

View attachment 3285301
Upotoshaji utakuwa mwingi kwani twawala wanoona wanaelekea hawatakula/wala tena huenda wakaliwa
 
Hayo maelezo ni uwongo mtupu:

1. Siku hiyo hakukuwa na mkutano wa hadhara. Mkutano wa hadhara ulifanyika kesho yake.

2. Ni uwongo kuwa Sigrada alipelekwa hospitali na polisi. Sigrada baada ya kuondolewa kikaoni baada ya kuleta fujo, alienda baa.

3. Sigrada alipewa muda mrefu mara 3 wa kujitetea kuhusiana na makosa aliyoyafanya ikiwa ni pamoja na kutoa lugha chafu dhidi ya viongozi wenzake, kuingilia kazi za viongozi wa majimbo na mkoa.

Jiulize, mtu aliyeumizwa sana, aliwezaje kwenda baa, na kuendelea kunywa konyagi mpaka saa 9 usiku?

Ufahamu kuwa baada ya pombe na maigizo kwisha, aliambiwa arudi nyumbani kwake, hayupo hospitali alikolazimisha kulazwa hata alipoambiwa arudi nyumbani.
 
Pumbaf kabisa. Mtu apigwe awe mahututi anapelekwa kituo cha afya? Halafu hapo amepewa tu bed rest wala haonekani kama mtu aliepigwa hata kofi moja. Huyu aitwe kwenye kamati ya nidhamu aadhibiwe kulingana na katiba ya chama.
 
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAVICHA), Siglada Mligo, ameendelea kufichua kwa undani tukio lililompelekea kupigwa na hatimaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi.

Kwa mujibu wa Mligo, tukio hilo lilitokea wakati wa kikao cha ndani cha wanachama wa CHADEMA kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche. Kikao hicho kilifanyika mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika siku hiyo.

Mligo anadai kuwa wakati wa kikao hicho, alimuomba Heche fursa ya kuzungumza ili kuweka wazi baadhi ya masuala kwa ajili ya mustakabali wa chama. Hata hivyo, badala ya kupokelewa kwa hoja zake, alijikuta akikaripiwa vikali na Heche, hatua iliyofikia hadi kutolewa nje ya kikao kwa nguvu.

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Baada ya kufukuzwa kutoka kikaoni, Mligo anasema alimtumia Heche ujumbe wa simu akiomba kuruhusiwa kurejea na kutoa mchango wake. Hata hivyo, badala ya kujibiwa, alidai kuwa kundi la vijana lilitumwa kumfuata, miongoni mwao akiwa mlinzi wa Heche, ambaye alimshambulia vibaya na kumsababishia majeraha makubwa.

Kwa mujibu wa Mligo, kilio chake cha maumivu kilisababisha askari waliokuwa kwenye doria kuingilia kati na kumsaidia. Askari hao walimkimbiza katika kituo cha afya kwa ajili ya matibabu.

Ukiangalia mlolongo wa tukio hili, ni dhahiri kuwa shambulio dhidi ya Mligo lilifanywa kwa makusudi, kwa lengo la kumzuia kushiriki tena kwenye kikao hicho. Swali linabaki: Je, CHADEMA kweli ni chama cha demokrasia? Chama kinachojiita cha kidemokrasia kinaweza kumdhuru mwanachama wake, tena mwanamke, kwa sababu ya tofauti za kimtazamo?

Ni wazi sasa kwamba CHADEMA chini ya uongozi wa Tundu Lissu na John Heche kinaendeshwa kwa mkono wa chuma. Wale wote wanaoonekana kuwa wafuasi wa Freeman Mbowe au wasioonyesha utii kwa Lissu wanachukuliwa kama maadui.

Tunatoa wito kwa wanaharakati wa haki za binadamu na haki za wanawake kupaza sauti kwa niaba ya Siglada Mligo. Ni muhimu kuhakikisha anapata haki yake na pia kushinikiza CHADEMA na Heche kumuomba msamaha na kugharamia matibabu yake kikamilifu.

Ukatili huu haupaswi kufumbiwa macho. Ni muhimu kuukemea sasa kabla uongozi huu wa CHADEMA haujafikia hatua ya kuhatarisha maisha ya wanachama wao kwa sababu tu ya tofauti za kimtazamo.

View attachment 3285301
Heche ni mhuni sasa unategemea nini kutoka kwake?!!
 
Pumbaf kabisa. Mtu apigwe awe mahututi anapelekwa kituo cha afya? Halafu hapo amepewa tu bed rest wala haonekani kama mtu aliepigwa hata kofi moja. Huyu aitwe kwenye kamati ya nidhamu aadhibiwe kulingana na katiba ya chama.
Unaweza jua mtu ana hali gani.kwa kumkodolea macho tu? Wewe vipi?
 
Chadema wakatili sana
20250327_181640.jpg
 
Pumbaf kabisa. Mtu apigwe awe mahututi anapelekwa kituo cha afya? Halafu hapo amepewa tu bed rest wala haonekani kama mtu aliepigwa hata kofi moja. Huyu aitwe kwenye kamati ya nidhamu aadhibiwe kulingana na katiba ya chama.
Hata Mimi nimeshangaa kuona mgonjwa mahtuti akijieleza!!
Haya mamluki yang'olewe mspembe!
 
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAVICHA), Siglada Mligo, ameendelea kufichua kwa undani tukio lililompelekea kupigwa na hatimaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi.

Kwa mujibu wa Mligo, tukio hilo lilitokea wakati wa kikao cha ndani cha wanachama wa CHADEMA kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche. Kikao hicho kilifanyika mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika siku hiyo.

Mligo anadai kuwa wakati wa kikao hicho, alimuomba Heche fursa ya kuzungumza ili kuweka wazi baadhi ya masuala kwa ajili ya mustakabali wa chama. Hata hivyo, badala ya kupokelewa kwa hoja zake, alijikuta akikaripiwa vikali na Heche, hatua iliyofikia hadi kutolewa nje ya kikao kwa nguvu.

Soma Pia: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Baada ya kufukuzwa kutoka kikaoni, Mligo anasema alimtumia Heche ujumbe wa simu akiomba kuruhusiwa kurejea na kutoa mchango wake. Hata hivyo, badala ya kujibiwa, alidai kuwa kundi la vijana lilitumwa kumfuata, miongoni mwao akiwa mlinzi wa Heche, ambaye alimshambulia vibaya na kumsababishia majeraha makubwa.

Kwa mujibu wa Mligo, kilio chake cha maumivu kilisababisha askari waliokuwa kwenye doria kuingilia kati na kumsaidia. Askari hao walimkimbiza katika kituo cha afya kwa ajili ya matibabu.

Ukiangalia mlolongo wa tukio hili, ni dhahiri kuwa shambulio dhidi ya Mligo lilifanywa kwa makusudi, kwa lengo la kumzuia kushiriki tena kwenye kikao hicho. Swali linabaki: Je, CHADEMA kweli ni chama cha demokrasia? Chama kinachojiita cha kidemokrasia kinaweza kumdhuru mwanachama wake, tena mwanamke, kwa sababu ya tofauti za kimtazamo?

Ni wazi sasa kwamba CHADEMA chini ya uongozi wa Tundu Lissu na John Heche kinaendeshwa kwa mkono wa chuma. Wale wote wanaoonekana kuwa wafuasi wa Freeman Mbowe au wasioonyesha utii kwa Lissu wanachukuliwa kama maadui.

Tunatoa wito kwa wanaharakati wa haki za binadamu na haki za wanawake kupaza sauti kwa niaba ya Siglada Mligo. Ni muhimu kuhakikisha anapata haki yake na pia kushinikiza CHADEMA na Heche kumuomba msamaha na kugharamia matibabu yake kikamilifu.

Ukatili huu haupaswi kufumbiwa macho. Ni muhimu kuukemea sasa kabla uongozi huu wa CHADEMA haujafikia hatua ya kuhatarisha maisha ya wanachama wao kwa sababu tu ya tofauti za kimtazamo.

View attachment 3285301
Hao ndio Chadema, walimwua Wangwe, juzijuzi walimwua mzee Kibao, ndio wanaoteka wanachama wao na wengine kuwapoteza kabisa halafu wanakuja kuisakizia serikali. Lisuu ni dikteta uchwara. Hv jaribu kufikiri nchi iko mikononi mwa Lissu na Heche, ingawa haitakaa iwezekane hiyo itakuwa siyo nchi. Hao watu hawafai kwanza ni vibaraka wa wazungu
 
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) @BawachaTaifa Taifa, Sigrada Mligo, ameripotiwa kujeruhiwa na mmoja wa walinzi wa chama hicho wakati wa kikao cha ndani kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @ChademaTz Bara, John Heche @HecheJohn, Machi 25, 2025, mjini Njombe mkoani Njombe.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema kuwa Mligo (34), mkazi wa Mji Mwema, alishambuliwa baada ya majadiliano ndani ya kikao hicho kuzua taharuki kuhusu utaratibu wa mikutano aliyokuwa akiifanya.

"Baada ya hali ya taharuki kutulia, aliitwa kurejea kwenye kikao, lakini mmoja wa walinzi wa CHADEMA, aliyefahamika kwa jina la Noel Olevale, alimshambulia na kumsababisha aanguke chini. Askari waliokuwepo walijaribu kumkamata mtuhumiwa lakini alikimbia," amesema Banga.

Mligo alipelekwa Hospitali ya Kibena kwa matibabu, huku Jeshi la Polisi likisema linaendelea na juhudi za kumsaka mtuhumiwa.
 
Hao ndio Chadema, walimwua Wangwe, juzijuzi walimwua mzee Kibao, ndio wanaoteka wanachama wao na wengine kuwapoteza kabisa halafu wanakuja kuisakizia serikali. Lisuu ni dikteta uchwara. Hv jaribu kufikiri nchi iko mikononi mwa Lissu na Heche, ingawa haitakaa iwezekane hiyo itakuwa siyo nchi. Hao watu hawafai kwanza ni vibaraka wa wazungu
Kwahiyo serikali inabariki utekaji unaofanywa na chadema kwa kuwateka wanachama wake? Basi serikali na idara zote za usalama ni wapumbavu ukiwemo wewe kwa kubariki huwo ushenzi unaofanywa na chadema.
 
Back
Top Bottom