Mwenezi wa BAVICHA, Siglada Mligo aelezea tukio la kupigwa na kulazwa hospitalini

Chadema haina tofauti na Taliban!
 
Sema hili suala lina ukakasi mwingi. Na ifikie wakati CHADEMA wayavunje haraka makundi yao yaliyosababishwa na uchaguzi wao wa ndani, ili chama chao kipige hatua ya kwenda mbele.
Tatizo ni kuwa wanashindwa kuwakemea wale ambao wanaona chama ni chao kwa sababu waliyemuunga mkono alishinda uchaguzi. Huyu dada ni kiongozi na Heche alitakiwa kufuatilia hali yake mara baada ya tukio. Sasa hivi wamewapa CCM mtaji wa bure kabisa.

Amandla...
 
Halafu Ndugai alimtandika mtu viboko hadharani, na akaachwa tu! Ila mlinzi wa CHADEMA, anatafutwa na polisi!
Kwa hiyo Noel asitafutwe kwa sababu Ndugai hakuchukuliwa hatua yeyote? CDM nao wanataka kuwa na culture ya impunity kama ilivyo kwa CCM? Kuwa ruksa kumpiga mwanachama anaetofautiana na uongozi wa sasa? Hii ilikuwa nafasi nzuri ya kuitofautisha na CCM kama walivyofanya katika uchaguzi wao.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…