Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake