Tuseme sawa walikuwa ni wezi, ok. Sasa ni hakimu gani alitoa hiyo hukumu?Tena hawakuchapwa Vizuri . Ilitakiwa wachapwe vizuri mpaka wabubujikwe na Machozi .
Hao ni vijana wa Mitaani na wala siyo watumishi wa Umma. Waliiba madawati ya shule kwa Mgongo kuwa wananunua Vyuma Chakavu .
CCM na serikali yake huwa haitaki mambo ya Kijinga jinga.
Kipindi Hicho Mwenezi wetu alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha wakati wa Utawala wa Awamu ya Tano wa Mheshimiwa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.