Fundisho kwetu ni kusimamia haki na wajibu la sivyo hao wanaccm watasumbua sana.Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
πππππ Hii ni wapi?Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Haki gani unaweza simamia kwenye mfumo corrupt? Wewe ni mjinga eti?Fundisho kwetu ni kusimamia haki na wajibu la sivyo hao wanaccm watasumbua sana.
Uwe tayari Kwa loloteManina miye ningerusha ngumu aisee
Ila sio walimuTerrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Chama cha MazuzuTerrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
usha kwa wajanja π³ !πππππ Hii ni wapi?
wakati wa hayati mwal.J.K Nyerere ilikua hivyo pia, hususani pale ambapo ukibainika umekula rushwa, unakwenda jela mika20 kwa mujibu wa sheria, na viboko 24.Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Hii akili uliyonayo ndiyo ilisababisha usisomee taaluma ya ualimu.Manina miye ningerusha ngumu aisee
yaaaaani we fala comment zako za kijinga kabisawakati wa hayati mwal.J.K Nyerere ilikua hivyo pia, hususani pale ambapo ukibainika umekula rushwa, unakwenda jela mika20 kwa mujibu wa sheria, na viboko 24.
viboko 12 siku unaingia jela na viboko 12 wakati unatoka jela, ili ukamuonyeshe mkewe nyumbani.
nadhani ni adhabu sahihi kwa wahujumu uchumi na wazembe kazini π
shukrani gentleman,yaaaaani we fala comment zako za kijinga kabisa
Maelezo Yako yamewaumbua nyumbu wa lissu humu, safi sana.Tena hawakuchapwa Vizuri . Ilitakiwa wachapwe vizuri mpaka wabubujikwe na Machozi .
Hao ni vijana wa Mitaani na wala siyo watumishi wa Umma. Waliiba madawati ya shule kwa Mgongo kuwa wananunua Vyuma Chakavu .
CCM na serikali yake huwa haitaki mambo ya Kijinga jinga.
Kipindi Hicho Mwenezi wetu alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha wakati wa Utawala wa Awamu ya Tano wa Mheshimiwa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.