Tuseme sawa walikuwa ni wezi, ok. Sasa ni hakimu gani alitoa hiyo hukumu?Tena hawakuchapwa Vizuri . Ilitakiwa wachapwe vizuri mpaka wabubujikwe na Machozi .
Hao ni vijana wa Mitaani na wala siyo watumishi wa Umma. Waliiba madawati ya shule kwa Mgongo kuwa wananunua Vyuma Chakavu .
CCM na serikali yake huwa haitaki mambo ya Kijinga jinga.
Kipindi Hicho Mwenezi wetu alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha wakati wa Utawala wa Awamu ya Tano wa Mheshimiwa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
Mwizi ni Mwizi na hapaswi kubembelezwa. Narudia kusema tena kuwa walichapwa kidogo sana maana ilitakiwa wapewe kichapo kizito sanaa mpaka wakasimulie wakiwa wanabubujikwa machoziTuseme sawa walikuwa ni wezi, ok. Sasa ni hakimu gani alitoa hiyo hukumu?
Hao hawakuwa walimu . Nimeshatoa ufafanuzi kwenye comment YanguWalimu waliokubali kuchapwa viboko wachapwe tena ni majinga.
Kwa sheria ipi we mjinga!Tena hawakuchapwa Vizuri . Ilitakiwa wachapwe vizuri mpaka wabubujikwe na Machozi .
Hao ni vijana wa Mitaani na wala siyo watumishi wa Umma. Waliiba madawati ya shule kwa Mgongo kuwa wananunua Vyuma Chakavu .
CCM na serikali yake huwa haitaki mambo ya Kijinga jinga.
Kipindi Hicho Mwenezi wetu alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha wakati wa Utawala wa Awamu ya Tano wa Mheshimiwa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
Nilikuwa najiuliza hili swala, yeye ni nani serikalini? Ni mkurugenzi wa halmashauri? Mkuu wa wilaya au mkoa? Mamlaka hayo kayatoa wapi? Hii nchi ccm inaiharibu sana, ifikie kipindi wananchi tuzinduke na kutofautisha viongozi wa chama na serikali.Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Hawakuwa walimu hao acha upotoshaji nakumbuka walikuwa wezi hao vijana wanaiba viti vya shule wanauza kama vyuma chakavuTerrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Nadhani sio walimu, ni mafundi.Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Ilikuwa Arusha alipokuwa mkuu wa wilaya. Japo hao aliowachapa sio waalimu, bali ni wajasiriamali waliozuiwa vyuma vya madawati ya shule kama chuma chakavu.😂😂😂😂😂 Hii ni wapi?
Ya 2025 wakati mazafaka akiwa DC au RC wa Arusha!Hii video ni ya mwaka gani au ni AI?
Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Lissu ni zaidi ya serikali yote ya ccmMaelezo Yako yamewaumbua nyumbu wa lissu humu, safi sana.
Miye siyo mnyonge wala siwezi kuwa ticha abadani nimesomea kitu kingine hata Ualimu haukupo kwenye kichwa changu.Hii akili uliyonayo ndiyo ilisababisha usisomee taaluma ya ualimu.
Hakuna mwalimu ana akili hii uliyonayo