Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Anachapa walimu?Aiseee!Walishindwa kumpigia mangumi?Alikutana na wajinga.Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Aliyekuloga na kukuacha hai alikosea sana. Ingetakiwa akumalize kabisa!Kaibe ili uje uoneshwe sheria yake . Utapigwa Mpaka Uchakae
Mwizi ni Mwizi na hapaswi kubembelezwa. Narudia kusema tena kuwa walichapwa kidogo sana maana ilitakiwa wapewe kichapo kizito sanaa mpaka wakasimulie wakiwa wanabubujikwa machozi
Wapo mjombaHii akili uliyonayo ndiyo ilisababisha usisomee taaluma ya ualimu.
Hakuna mwalimu ana akili hii uliyonayo
Ndiyo maana nasema akili yako ilishajua yale maisha hautawezaMiye siyo mnyonge wala siwezi kuwa ticha abadani nimesomea kitu kingine hata Ualimu haukupo kwenye kichwa changu.
Dedeki pangewaka kwanza kuniita tuu kuvhapwa watu wengejua leo hapa kunakazi. Kuna kipindi nilikuwa kusini huko kule watu wajuaji sana sana. Ss miye nilikuwa kipindi kile cha matatizo ya gesi. Wenyewe siku ikifika wanaadhimishq hawafungui maduka wala sokoni.Ndiyo maana nasema akili yako ilishajua yale maisha hautaweza
Aisee 😥😥!! Halafu punk Lucas mwashamba anakuja na ufafanuzi eti hakuchapa walimu!! Hawa wajinga na machawa yawezekana hata mwenzao akapimwa na kukuta kaingiliwa ila Lucas mwashamba anakuja na ufafanuzi kua hakuingiliwa bali alikalia uji uliomwagika!!Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Hata kama siyo Walimu tuambie sheria gani inamruhusu DC kuchapa watu viboko wawe walinzi au mafundi?Hao hawakuwa walimu . Nimeshatoa ufafanuzi kwenye comment Yangu
Okay, sawa. HongereniLissu ni zaidi ya serikali yote ya ccm
Mwizi ni Mwizi na hapaswi kubembelezwa. Narudia kusema tena kuwa walichapwa kidogo sana maana ilitakiwa wapewe kichapo kizito sanaa mpaka wakasimulie wakiwa wanabubujikwa machoziWa
Mbona yule wa kwanza nimesikia kama anaambiwa 'mwalimu unaogopa viboko'Ila sio walimu
Eti...mwalimu unakubalije kuchapwa fimbo 🤣🤣🤣Walimu waliokubali kuchapwa viboko wachapwe tena ni majinga.
Sasa hapo ni jela. Mtu anakuja kukuchapa fimbo ofisini kwako? Halafu baada ya hapo unaendelea kufundisha?wakati wa hayati mwal.J.K Nyerere ilikua hivyo pia, hususani pale ambapo ukibainika umekula rushwa, unakwenda jela mika20 kwa mujibu wa sheria, na viboko 24.
viboko 12 siku unaingia jela na viboko 12 wakati unatoka jela, ili ukamuonyeshe mkewe nyumbani.
nadhani ni adhabu sahihi kwa wahujumu uchumi na wazembe kazini 🐒
Si ndio hapo..mwizi anapelekwa polisiTuseme sawa walikuwa ni wezi, ok. Sasa ni hakimu gani alitoa hiyo hukumu?
Wangenifukuza kaziTerrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Na hiyo ndio adhabu sahihi. Mamlaka ya kuchapa watu fimbo amepewa na nani?Binafsi nilifurahi adhabu waliopewa, tena hapo walionewa huruma ilitakiwa wakamatwe wafikishwe mahakamani
😂😂😂Hawa walimu ni wapumbavu aiseeTerrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu!
Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya mamlaka na uhalali wake
Waalimu ni wa kuchapa mijeledi kabisa maana kutwa kuiba kuraNa hiyo ndio adhabu sahihi. Mamlaka ya kuchapa watu fimbo amepewa na nani?