Mwenezi wa CCM aliwachapa walimu viboko Kwa sheria ipi aliyoitumia ?

Sijawahi kukutana na watu waoga hapa duniani kama walimu aisee.

Hakuna sheria yoyote inayompa mwanasiasa mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko kwa raia wazima lakini wamekubali kuadhibiwa sijui kwa sababu ya hofu ya kupoteza kazi au nini?
 
Hao walionewa huruma sana kuchapwa. Hiyo ilikuwa wanaenda jela direct.
 
Nimeangalia video mpaka mwisho nimegundua sio waalimu bali ni mafundi, mtoa mada acha kuzua taharuki ijapokuwa nilkua natamani wawe walimu
You're evil 😁😁😁 walimu tumekukosea nini
 
Walimu hawajui haki zao kabisa, eti wanachapwa na wao wanakubali tu, wasinge amini aiseee

Ndio siku ningekuwa gumzo
 
Wacha wachapwe hao ndo huwa vigogo wa kuiba kura na kufukuza wasimamizi vituoni

Kwann walimu huwa hawaheshimiki? Shida ni nini
 
Wacha wachapwe hao ndo huwa vigogo wa kuiba kura na kufukuza wasimamizi vituoni

Kwann walimu huwa hawaheshimiki? Shida ni nini
tunaheshimika mnoooo.
walimu wangekuwa hawaheshimiki wazazi wasingekubali kuwakabidhi walimu wawalee na kuwakuza kwa miaka 20+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…