Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hao ni wanaume wa mikoani walio hamia daslam kama wafanya biashara ndogondogo mkuu..... huko darslam wanaume wao hawawezi hata kurusha mawe🤣🤣Ni ishara nzuri sana, hatimae wanaume wa Dar wameanza kuwadindia form four failures