Mwenge hakuna umeme kuanzia saa mbili asubuhi

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
TANESCO mna agenda gani ya siri dhidi ya watu wa Mwenge?

Umeme mlikata saa mbili asubuh, hadi sasa ni saa 00.35 usiku, umeme hakuna giza limetamalaki.

Kwa upuuzi huu CCM imeshindwa kuisimamia vyema TANESCO iweze kutoa huduma bora.

Kataa CCM uboreshe maisha ya Watanzania
 
Mkuu umeme ukirudi maeneo hayo naomba nishtue maana nina jambo la kufanya huko kama umeme hakuna halitawezekana. Poleni
 
Tuikate CCM, taifa linazidi kupotea, nauli zinapanda bei kwa Kasi sana, huduma nyingi si za uhakika, maji na ,umeme. inawezeka taifa lina viongozi wafanya biashara Tuikate CCM taifa lisonge mbele
 
Kwa hiyo umeme haujarudi since ulipo katwa jana usiku? Nimekuja kwenye ATM ya NMB hapa TRA hamna umeme, Nakiete nako hali kadhalika
Sio jana usiku, ni jana saa mbili asubuhi mkuu, ina maana kama bado haujarudi mpaka sasa ni masaa 24 yanaenda kutimia✅
 
Nikakajua tatizo ni la mtwara tu kumbe ni nchi nzima???? Magufuli aliwezaje?
 
Hapo mwenge hakuna office ya tanesco, mkaenda hapo kupata taarifa why umeme umekatwa?,kulalama humu hakusaidii chochote, push back na street battles ndio lugha tanesco wataisikia
 
Hapo mwenge hakuna office ya tanesco, mkaenda hapo kupata taarifa why umeme umekatwa?,kulalama humu hakusaidii chochote, push back na street battles ndio lugha tanesco wataisikia
Hamna
 
Mtalimia Meno na bado hamjasema
 
Tanesco wahuni eti wanaanga Maisha yetu uku wanatulaza kwenye mbu😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…