Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo umeme haujarudi since ulipo katwa jana usiku? Nimekuja kwenye ATM ya NMB hapa TRA hamna umeme, Nakiete nako hali kadhalikaSaa mbili asubuhi leo Jumatano ni Siku ya mgao
Sio jana usiku, ni jana saa mbili asubuhi mkuu, ina maana kama bado haujarudi mpaka sasa ni masaa 24 yanaenda kutimia✅Kwa hiyo umeme haujarudi since ulipo katwa jana usiku? Nimekuja kwenye ATM ya NMB hapa TRA hamna umeme, Nakiete nako hali kadhalika
HamnaHapo mwenge hakuna office ya tanesco, mkaenda hapo kupata taarifa why umeme umekatwa?,kulalama humu hakusaidii chochote, push back na street battles ndio lugha tanesco wataisikia
Mtalimia Meno na bado hamjasema
Tanesco wahuni eti wanaanga Maisha yetu uku wanatulaza kwenye mbu😄😄
Wachawi kabisaTanesco wahuni eti wanaanga Maisha yetu uku wanatulaza kwenye mbu😄😄
Inasikitisha grade ya taifa itakua inapelekaje treni uko mwanza sasa😂😂Kwa Hali hiiWachawi kabisa