Mwenge intake

Mwenge intake

Idd Omary

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
37
Wale wa mwenge university moshi tukutane hapa sababu reporting day ni 6/09 na boom halijasoma!!
 
Idd umeshapata joining?
Niambie ni kiasi gani kinahitajika ili uweze kusajiliwa.
 
hapo sasa jaman si wengne mbali huku ndo tunafungasha kuja ila 300 na 60 haisomi mbona jamani.
 
Jamani kwa wale waliopo mwenge ukichelewa kuripoti inakuwa vp!!!
 
Jamani kwa wale waliopo mwenge ukichelewa kuripoti inakuwa vp!!!

nipo mwenge second year! Ukichelewa week 1 o 2 hawazingui wala nini,, pale hapana noma hata ukiwa na tatzo unasaidiwa
 
nipo mwenge second year! Ukichelewa week 1 o 2 hawazingui wala nini,, pale hapana noma hata ukiwa na tatzo unasaidiwa

mmmhh.. Kweli lakin maana kuwah si wengne inashndkana na kuvuta naogopa!
 
Sasa kaka vp kuhusu accomodation ni inakuwaje yaani?
 
Mkopo weng wanapata ila kuhusu accomodatio nafas ni chache sana ukiwah unapata
 
Hapo recception juzi kati nimeona maxixter xjui nao ni malekcharas au chuo kisije kikawa na sheria kaa shule za kata!!!!
 
Back
Top Bottom