Mwenge intake

Mwenge intake

Msaada kwa mlio na uzoefu "bora kuishi hostel au kupanga? Na chumba cha bei ya chini shilingi ngapi?
 
Accomodation ukiwai unapata ingawa ni chache, ila street kuna vyumba vya kupanga kwa wingi tu kuanzia 30 mpaka 70 ina tegemea na mfuko wako na unapendelea kuishi mazingira gani. Menu kuna cafe nyingi tu za nje ambazo wanapika ila standard menu ukifika ulizia kwa Baba Joshua, hapo utakula hadi ujilambe vidole
 
Jaman bado shamba halijapata mteja cjui nitatimba chuo hata hiyo woki ijayo niliyopanga kutia nanga huko!?
 
Bado Eliza, mambo magumu c unajua kibongobongo laifu limekaza tunajipinda kiaina lkn daa, nahofia sana kukosa nafas ya kulala.
Vp ww bado sana?
 
M mwny npo kitaa, yaani pesa nying kweli inahitajika, 360,00
bado accomodation yaani bodi nao wame2lia tu
 
Yani hapo umepwelea bas uende na lak8, vinginevyo balaa unalilazimisha!
Ila kama kuna 1st year mwenzetu aliyeripot atutoe kimasomaso kwa kuteleza uhalisia wa mambo yalivyoo!
 
Yani hapo umepwelea bas uende na lak8, vinginevyo balaa unalilazimisha!
Ila kama kuna 1st year mwenzetu aliyeripot atutoe kimasomaso kwa kuteleza uhalisia wa mambo yalivyoo!

poleni sana inabidi TCU wavishauri vyuo vyote viwe na mwezi mmoja common wa kufungua vyuo hata kama tarehe zikitofautiana ili kuipa nafasi bodi ya mikopo kufanya kazi kwa ufanisi zaidi sasa hii ya kuwahi wahi inawacoast wengi na hii imetokana na kuchelewesha kwa selection from TCU
 
M nategemea bodi ndo mlez wng sina support yoyote, alafu kufungua chuo ndo tayari, hata sielewi
 
Back
Top Bottom