Elizabethoddo
Member
- Sep 3, 2013
- 11
- 0
Msaada kwa mlio na uzoefu "bora kuishi hostel au kupanga? Na chumba cha bei ya chini shilingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada kwa mlio na uzoefu "bora kuishi hostel au kupanga? Na chumba cha bei ya chini shilingi ngapi?
Ivi mwenge wanafundisha maprofesa au mchanganyiko?
Yani hapo umepwelea bas uende na lak8, vinginevyo balaa unalilazimisha!
Ila kama kuna 1st year mwenzetu aliyeripot atutoe kimasomaso kwa kuteleza uhalisia wa mambo yalivyoo!
M nategemea bodi ndo mlez wng sina support yoyote, alafu kufungua chuo ndo tayari, hata sielewi
M mwny npo kitaa, yaani pesa nying kweli inahitajika, 360,00
bado accomodation yaani bodi nao wame2lia tu