Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kwa wale waliopo mwenge ukichelewa kuripoti inakuwa vp!!!
nipo mwenge second year! Ukichelewa week 1 o 2 hawazingui wala nini,, pale hapana noma hata ukiwa na tatzo unasaidiwa
Ivi wanafunzi wote wa mwenge wanapata mkopo?
Poa waungwana mi nauza shamba
Bodi si watoe majina jaman, msosi wa cafteria za mwenge mzuri?