Young Teacher
Senior Member
- Jul 29, 2012
- 186
- 43
Leo naanza jaman michakato km kuna lolote ntawajulisha okey!
vp kuhusu deadline za kuripot...
sijafaham kwa hilo best, ila ninachokifahamu ni kwamba juma 3 tar. 16 masomo yanaanza.
Kiongozi shukrani za pekee kwako kwani kupitia uzi huu tunajua tujipange vip kuja huko
vip room mtaani zinaendavip kuhusu bei
Nilisahau ONYO utupaj wa taka ovyo hata karatas ya vocha na kutema mate hovyo ni marufuku mosh mjini ukikamatwa fain elfu50 au jela mwez 6.
Kwa wanaolipia NBC, A/C name: Mwenge University College of Education.
A/C NO: 017103005324
NB: Chuoni wanahtaj BANK SLIP na sio CASH. Kalipe kwanza kabla hujafika chuo kujisajili.
PIA ANGALIZO: usipolipa 360,000 hautopokelewa, hii imenitokea mimi pia nipo mtaani mpaka sasa nasubiri tena j3.