MWENGE tujisogeze

MWENGE tujisogeze

Pouwa, ila nimetoka bank naelekea chuo kufanya usajili. Ntawaelekezeni ninayokutana nayo
 
Ukifika pale mlango wa Finance Dep. Utaonyesha Bank Slip na utapewa receipt inayokuwezesha kufanya usajili. Huko sijafika jamani
 
Nyoooh!! Mkopo kaka mpaka tcu wakutambue kwamba ur mwanachuo then yanatumwa helsb. Dis is thruuu registration!!! Xo be faith pay registration fee!!!!
 
Jaman kesho naanza safar ya kuja mosh ni mara yangu ya kwanza kukanyaga huo mkoa so wenyej kaen mkao wa kupokea mgan but msinitie changu kwasababu nimewaambia mgen. Nitakuja na meridian
 
Sijamaliza usajil mpaka j3, natafuta chumba mtaan, hostel vimejaa. Kuna rafik yangu wa 3r yr amenihifadh kwa muda.
 
Kiongozi shukrani za pekee kwako kwani kupitia uzi huu tunajua tujipange vip kuja huko
vip room mtaani zinaendavip kuhusu bei
 
Aisee habar ya vyumba ndefu haswaaaa! Nimejionea kwa macho yangu vya karibu 50 mbali hukooo unaweza kupata kwa 30
 
Nilisahau ONYO utupaj wa taka ovyo hata karatas ya vocha na kutema mate hovyo ni marufuku mosh mjini ukikamatwa fain elfu50 au jela mwez 6.
 
Kiongozi shukrani za pekee kwako kwani kupitia uzi huu tunajua tujipange vip kuja huko
vip room mtaani zinaendavip kuhusu bei

kwa kawaida ni 40, 50, 60 mpaka 70 kwa mwez ukibahatisha 30 au 35 vya akina sisi.
 
Kwa wanaolipia NBC, A/C name: Mwenge University College of Education.
A/C NO: 017103005324

NB: Chuoni wanahtaj BANK SLIP na sio CASH. Kalipe kwanza kabla hujafika chuo kujisajili.

PIA ANGALIZO: usipolipa 360,000 hautopokelewa, hii imenitokea mimi pia nipo mtaani mpaka sasa nasubiri tena j3.
 
Kwa a/c ya CRDB ipo kwenye web ya chuo kwa wale waliopata email yenye maelezo ya kujiunga ipo pale
 
Dah mwenge ni kweli pa kusoma!! Hata mavazi yana mashart!! Hawanaga carrier!!! Duuh!!
 
Back
Top Bottom