DOKEZO Mwenge umekuwa mwiba mkali kwa Walimu Wakuu Halmashauri ya Momba. Wanalazimishwa kutoa mchango kwa vitisho

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
1. Mwalimu Mkuu asipotoa mchango wowote anatishiwa kuvuliwa madaraka au kunyanyaswa kwa jambo lolote lile.

2. DEO wa Halmashauri hii ni mtu wa kuwatishia tu walimu na kuwalazimisha kutoa michango bila utaratibu.

3. Posho ya Mwalimu mkuu imekuwa kama fimbo ya kuwachapia hao walimu wakuu na kupelekea kila mchango wanamtupia Mwalimu mkuu.

4. Je, kama Mwenge unatengewa bajeti sasa hizi pesa zinaenda wapi?

5. Je, kuna uhakika gani kama hizo pesa zinaenda kwenye mwenge ikiwa hakuna uwazi na ushahidi katika ukusanyaji wa hizo pesa?

6. Kwanini MAAFISA ELIMU KATA kutoka kila Kata wapewe kazi ya kukusanya hizi pesa badala ya michango hii kulipwa kwenye Akaunti ya Halmshauri kama kweli ni halali?

View attachment 3055531

Pia soma
Wachangishwe tu walimu ni wapuuzi tu siyo ndo wanachangiaga fomu ya mkuu wa nchi.wako wengi lkn hawawezi kujisimamia na hawajifunzi kutoka kenya na nchi nyingine
 
Moja ya sekta iliyo jaa wapumbavu wengi sana basi ni kwenye ualimu wakibanwa mbupu wanapiga kelele alafu wakitoka hapo wanaenda kua waimba mapambio kama kawaida
 
Hawa walimu wakuu si walimchangia mama mamilioni Ili achukue form?

Muda mwingine huruma Huwa inatoweka kabisa ukiona ama kusikia mambo kama haya
Unajua kuonana na kiongozi mkubwa wa nchi husababisha kichaa cha muda kwa baadhi ya watu?Yawezekana walichanga kwa taharuki au ni upendo na uamuzi wao.Ila,wasipige kelele wanapokamuliwa kwa ajili ya mwenge kwa sababu watashiriki kuzitumia.
 
Nayajua maisha ya waalimu Nje ndani kwani baba kapitia huko.
 
Attachments

  • Screenshot_20240729-114052.jpg
    Screenshot_20240729-114052.jpg
    498 KB · Views: 4
1. Mwalimu Mkuu asipotoa mchango wowote anatishiwa kuvuliwa madaraka au kunyanyaswa kwa jambo lolote lile.

2. DEO wa Halmashauri hii ni mtu wa kuwatishia tu walimu na kuwalazimisha kutoa michango bila utaratibu.

3. Posho ya Mwalimu mkuu imekuwa kama fimbo ya kuwachapia hao walimu wakuu na kupelekea kila mchango wanamtupia Mwalimu mkuu.

4. Je, kama Mwenge unatengewa bajeti sasa hizi pesa zinaenda wapi?

5. Je, kuna uhakika gani kama hizo pesa zinaenda kwenye mwenge ikiwa hakuna uwazi na ushahidi katika ukusanyaji wa hizo pesa?

6. Kwanini MAAFISA ELIMU KATA kutoka kila Kata wapewe kazi ya kukusanya hizi pesa badala ya michango hii kulipwa kwenye Akaunti ya Halmshauri kama kweli ni halali?

View attachment 3055531

Pia soma
Modes futa huu uziii
 
Tuone maelekezo ya kila idara iliyopo Halimashauri
 
1.Kubisha kuchangia mwenge ni uhaini
2. Kuhoji kuhusu kuchangia mwenge ni uhaini
Uzalendo ni kuchangia mwenge kwa maendeleo ya taifa mwenge wa uhuru kwa jamhuri ya muungano wa tz
Kumbe ndio maana nchi inazidi kuwa masikini.
 
Ni ujinga wao.

Sasa wanataka nani awasaidie zaidi ya kujipambania wenyewe?
 
Nafikiri hii ndio kada pekee isiyo na umoja Tanzania hii. Hivi mnafikiri mkigoma nchi nzima watawafukuza?

Mbona madaktari hawapelekeshwi hivi? Mnakwama wapi?
 
Waalimu nchi hii km sio yao, wapo km wakimbizi.!!
Poleni sana, ila na nyie ndo vimbelembele sana linapokuja suala la kusaidia kuchakachua masanduku ya kura.!!
Acha kiwalambe
 
Back
Top Bottom