peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Walim...wamekuwa wakiwasaidia chama kile kuiba kura. Mkome sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc;@Mpwayungu the real gogoz.
Wachangishwe tu walimu ni wapuuzi tu siyo ndo wanachangiaga fomu ya mkuu wa nchi.wako wengi lkn hawawezi kujisimamia na hawajifunzi kutoka kenya na nchi nyingine1. Mwalimu Mkuu asipotoa mchango wowote anatishiwa kuvuliwa madaraka au kunyanyaswa kwa jambo lolote lile.
2. DEO wa Halmashauri hii ni mtu wa kuwatishia tu walimu na kuwalazimisha kutoa michango bila utaratibu.
3. Posho ya Mwalimu mkuu imekuwa kama fimbo ya kuwachapia hao walimu wakuu na kupelekea kila mchango wanamtupia Mwalimu mkuu.
4. Je, kama Mwenge unatengewa bajeti sasa hizi pesa zinaenda wapi?
5. Je, kuna uhakika gani kama hizo pesa zinaenda kwenye mwenge ikiwa hakuna uwazi na ushahidi katika ukusanyaji wa hizo pesa?
6. Kwanini MAAFISA ELIMU KATA kutoka kila Kata wapewe kazi ya kukusanya hizi pesa badala ya michango hii kulipwa kwenye Akaunti ya Halmshauri kama kweli ni halali?
View attachment 3055531
Pia soma
Unajua kuonana na kiongozi mkubwa wa nchi husababisha kichaa cha muda kwa baadhi ya watu?Yawezekana walichanga kwa taharuki au ni upendo na uamuzi wao.Ila,wasipige kelele wanapokamuliwa kwa ajili ya mwenge kwa sababu watashiriki kuzitumia.Hawa walimu wakuu si walimchangia mama mamilioni Ili achukue form?
Muda mwingine huruma Huwa inatoweka kabisa ukiona ama kusikia mambo kama haya
Nayajua maisha ya waalimu Nje ndani kwani baba kapitia huko.Unajua kuonana na kiongozi mkubwa wa nchi husababisha kichaa cha muda kwa baadhi ya watu?Yawezekana walichanga kwa taharuki au ni upendo na uamuzi wao.Ila,wasipige kelele wanapokamuliwa kwa ajili ya mwenge kwa sababu watashiriki kuzitumia.
Ila,hawajatenda dhambi.Ni uamuzi wao.Nayajua maisha ya waalimu Nje ndani kwani baba kapitia huko.
Waache wakamuliweIla,hawajatenda dhambi.Ni uamuzi wao.
😂😂😂😂Mbona michango ya harusi wanatoa?Tsh.100,000 unapata sahani moja ya ubwabwa na bia tatu kwa malipo halali ya Kitanzania.Waache wachangie mwenge wa uhuru.Kuna vitu vinatia hasira sana
Modes futa huu uziii1. Mwalimu Mkuu asipotoa mchango wowote anatishiwa kuvuliwa madaraka au kunyanyaswa kwa jambo lolote lile.
2. DEO wa Halmashauri hii ni mtu wa kuwatishia tu walimu na kuwalazimisha kutoa michango bila utaratibu.
3. Posho ya Mwalimu mkuu imekuwa kama fimbo ya kuwachapia hao walimu wakuu na kupelekea kila mchango wanamtupia Mwalimu mkuu.
4. Je, kama Mwenge unatengewa bajeti sasa hizi pesa zinaenda wapi?
5. Je, kuna uhakika gani kama hizo pesa zinaenda kwenye mwenge ikiwa hakuna uwazi na ushahidi katika ukusanyaji wa hizo pesa?
6. Kwanini MAAFISA ELIMU KATA kutoka kila Kata wapewe kazi ya kukusanya hizi pesa badala ya michango hii kulipwa kwenye Akaunti ya Halmshauri kama kweli ni halali?
View attachment 3055531
Pia soma
Tuone maelekezo ya kila idara iliyopo Halimashauri1. Mwalimu Mkuu asipotoa mchango wowote anatishiwa kuvuliwa madaraka au kunyanyaswa kwa jambo lolote lile.
2. DEO wa Halmashauri hii ni mtu wa kuwatishia tu walimu na kuwalazimisha kutoa michango bila utaratibu.
3. Posho ya Mwalimu mkuu imekuwa kama fimbo ya kuwachapia hao walimu wakuu na kupelekea kila mchango wanamtupia Mwalimu mkuu.
4. Je, kama Mwenge unatengewa bajeti sasa hizi pesa zinaenda wapi?
5. Je, kuna uhakika gani kama hizo pesa zinaenda kwenye mwenge ikiwa hakuna uwazi na ushahidi katika ukusanyaji wa hizo pesa?
6. Kwanini MAAFISA ELIMU KATA kutoka kila Kata wapewe kazi ya kukusanya hizi pesa badala ya michango hii kulipwa kwenye Akaunti ya Halmshauri kama kweli ni halali?
View attachment 3055531
Pia soma
Kumbe ndio maana nchi inazidi kuwa masikini.1.Kubisha kuchangia mwenge ni uhaini
2. Kuhoji kuhusu kuchangia mwenge ni uhaini
Uzalendo ni kuchangia mwenge kwa maendeleo ya taifa mwenge wa uhuru kwa jamhuri ya muungano wa tz
Kwa Lucas Mwashambwa ni MboziHuko Momba si ndio kwao chawa Lucas Mwashambwa anayetudanganya huyo bibi wa kizimkazi anakubalika na mamilioni ya watanzania kila siku kumbe watu wanalazimishwa kulipishwa kukimbiza moto.