Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper second tu nimeamini hiki ni chuo cha kata,
Kwani wanakaaga mstarini na kuimba wimbo wa shule na wa taifa?? wanavaaga kaptula za kaki? au wanachapwagwa? mbona sikuelewi?? hv unajua kuwa unaongeaga pumba wewe?
bahati yako yani ningelijua jina lako ningewaambia hawa watu wakushikishe adabu kwa sup 2 kidogo DR MWENDE,MAMA MWENDE na KING yani ukipata sup kama 3 hv akili itakaa sawa mbigiri wewe
bahati yako yani ningelijua jina lako ningewaambia hawa watu wakushikishe adabu kwa sup 2 kidogo DR MWENDE,MAMA MWENDE na KING yani ukipata sup kama 3 hv akili itakaa sawa mbigiri wewe
Serious wataka jina lake Mkuu?
ndio nalitaka
Vyuo pekeee Tz Mzumbe; Udsm; Sua vingine majanga anaebisha aseme
mpigamsuli kwa Id Mupyaaaaa..😀
Naku Pm Chief..
Aru, muhas au ni matawi ya udsm....??hebu fafanua
Yaaani kuna watu ni shida sana humu jukwaani. Kuna mambo ya msingi sana ya kujadili as intellectuals lakini kila siku ni mada za kusifiana vyuo. Ngojeni mmalize mje huku mtaani mtaona kimbembe chake.
Acheni UTOTO. Hili jukwaa limeshuka hadhi yake sasa.

Duuu huu ni full uwendawazimu
Vyuo pekeee Tz Mzumbe; Udsm; Sua vingine majanga anaebisha aseme