Mwenge University

Mwenge University

Mpigamsuli Lazma Udisco Apo Muccobs(usifikiri Ni Malindi Na Laliga)
 
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper second tu nimeamini hiki ni chuo cha kata,

na leo unavyochambuliwa kama karanga sijui utaificha wapi sura yako.!
 
Kwani wanakaaga mstarini na kuimba wimbo wa shule na wa taifa?? wanavaaga kaptula za kaki? au wanachapwagwa? mbona sikuelewi?? hv unajua kuwa unaongeaga pumba wewe?

Lo kadakwa cdhani kama katoka pasi na Ujauzito.
 
bahati yako yani ningelijua jina lako ningewaambia hawa watu wakushikishe adabu kwa sup 2 kidogo DR MWENDE,MAMA MWENDE na KING yani ukipata sup kama 3 hv akili itakaa sawa mbigiri wewe
 
Serious wataka jina lake Mkuu?
 
bahati yako yani ningelijua jina lako ningewaambia hawa watu wakushikishe adabu kwa sup 2 kidogo DR MWENDE,MAMA MWENDE na KING yani ukipata sup kama 3 hv akili itakaa sawa mbigiri wewe

usiangaike atapata disco tyr
 
Vyuo pekeee Tz Mzumbe; Udsm; Sua vingine majanga anaebisha aseme
 
Yaaani kuna watu ni shida sana humu jukwaani. Kuna mambo ya msingi sana ya kujadili as intellectuals lakini kila siku ni mada za kusifiana vyuo. Ngojeni mmalize mje huku mtaani mtaona kimbembe chake.
Acheni UTOTO. Hili jukwaa limeshuka hadhi yake sasa.
 
Kweli mkuu
 
noted ...!
 
Back
Top Bottom