johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri Jenister Mhagama amesema Mwenge wa Uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT
Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.
Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.
Chanzo: Star tv