Mwenge wa Uhuru utazimwa Chato mkoani Geita ukiambatana na Misa takatifu ya kuwaombea mahayati Magufuli, Mkapa na Nyerere katika Kanisa Katoliki

43E63918-6901-4E56-AD19-B7FE6D69E99D.jpeg

Jiwe atakuwa na furaha sana huko kama ameonana na Nyerere
 
Mbona hawakumbuki kumuombea mchawii foro ganze muasisi wa mwenge
Huyu Ganze katuachia hii makitu... ", Tutauwasha mwenge na kuupandisha juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro umulike nje ya mipaka yetu (na si ndani ya Tanganyika) ulete upendo pale penye chuki.... Daaah umenikumbusha mbali kiongozi...
 
Nashangaa sana sijui kwanini huyu mwamba hawamkumbuki Huyu mchawi muasisi wa mwenge
 
Wana JF wachangiaji wazuri wa michango kwa CCM watatu (3) wanaotaka kwenda nitakwenda nao kwa gharama zangu, wawasiliane kwenye Inbox yangu.

Tukamkumbuke shujaa kwa kushiriki misa takatifu na watu wengine wema huko Chato, nitatoa offer kwa mwenye kutaka tupite Machame kusalimia ndugu na wazazi. John Pombe Magufuli kiboko ya upinzani , mwana CCM aliefanya Chadema waufyate.

Tufanye sana maombi aje JPM mwingine.
 
Kwa hiyo kwako wewe mtu akiweza tu kuwafanya CDM waufyate anafaa kuwa Rais? Hao CDM watakuwepo milele?
 
Waziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT

Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.

Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.

Source: Star tv!
Ibada ya shetani
 
Wana JF wachangiaji wazuri wa michango kwa CCM watatu (3) wanaotaka kwenda nitakwenda nao kwa gharama zangu, wawasiliane kwenye Inbox yangu.

Tukamkumbuke shujaa kwa kushiriki misa takatifu na watu wengine wema huko Chato, nitatoa offer kwa mwenye kutaka tupite Machame kusalimia ndugu na wazazi. John Pombe Magufuli kiboko ya upinzani , mwana CCM aliefanya Chadema waufyate.

Tufanye sana maombi aje JPM mwingine.
Ibada ya shetani haina baraka , kama unatafuta laana endelea
 
Waziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT

Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.

Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.

Source: Star tv!
Hivi tutaendeleza hii ibada ya sanamu hadi lini Watanzania?
 
WATU WALUPONDA CHATO NA KUMPONDA MAGUFURI,,SASA WAMWGUBDUA WATANZANIA WANAMTHAMINI MAGUFURI WAMEAMUA KUJIRUDI..NAKUHAKUKISHIA CHATO ITAKUWA MKOA KABLA YA 2025
Chato iwe mko na Zanzibar iwe nchi, ngoma 'droo'.
 
Waziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT

Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.

Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.

Source: Star tv!
Jambo kuu kwasasa ni mamady doumboya huu wenu ni utopolo
 
Wana JF wachangiaji wazuri wa michango kwa CCM watatu (3) wanaotaka kwenda nitakwenda nao kwa gharama zangu, wawasiliane kwenye Inbox yangu.

Tukamkumbuke shujaa kwa kushiriki misa takatifu na watu wengine wema huko Chato, nitatoa offer kwa mwenye kutaka tupite Machame kusalimia ndugu na wazazi. John Pombe Magufuli kiboko ya upinzani , mwana CCM aliefanya Chadema waufyate.

Tufanye sana maombi aje JPM mwingine.
Mamady doumboya unamjua?
 
Waziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT

Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.

Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.

Source: Star tv!
Nyerere yuko chini ya Magufuli! Haiwezekani, inamaana mama Maria na familia yake atakuwa chini ya mke wa Magufuli! Wameishusha hadhi ya Nyerere na kumpandisha Magufuli, bora waiondoe misa ya kumuombea Nyerere.
 
Vile mwendakuzimu amefurahia kutokea huko kuzimu maamuzi ya mwenge wa uhuru kuzimwa Chato😁😁😁
162869316286936.jpg
 
Back
Top Bottom