johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ccm wanapukutika, wajiangalie wamekosea wapi?Waziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT
Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.
Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.
Source: Star tv!
Aaamin aaamina wapumzike mahali pema peponi miamba hawaWaziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT
Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.
Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.
Source: Star tv!
Kanisa na ushirikina wa mwenge, katoliki mna nini lakini?Waziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT
Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.
Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.
Source: Star tv!
Maoni ya juha ,utaishi mileleMaisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!
Pole mjane, unakumbuka ulivyoagwa ,kila mtu abaki na mavi yake.Maoni ya juha ,utaishi milele
Taahira.ra mkubwa wewe, utaishi milele enh? lini JPM alisema ataishi milele?Maisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!
Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,
Pole mjane, unakumbuka ulivyoagwa ,kila mtu abaki na mavi yake.
Kuna mambo nchi inapitia ukikumbuka unabaki kucheka tu.
Unamuhakikishia nani 😂?WATU WALUPONDA CHATO NA KUMPONDA MAGUFURI,,SASA WAMWGUBDUA WATANZANIA WANAMTHAMINI MAGUFURI WAMEAMUA KUJIRUDI..NAKUHAKUKISHIA CHATO ITAKUWA MKOA KABLA YA 2025
Mmhh.. mbona hivi tena mjane, pole.Jitu lishazoea kupumliwa kisogoni basi linahisi kila anayecoment ni jinsia yalenyewe tu, utampenda vipi JPM na aliwapiga vita mapunga!!??