Haa haaa just haa haa πππTaahira.ra mkubwa wewe, utaishi milele enh? lini JPM alisema ataishi milele?
wewe..na ccm pingapinga ya akina januari na rzoneUnamuhakikishia nani π?
Huyu Ganze katuachia hii makitu... ", Tutauwasha mwenge na kuupandisha juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro umulike nje ya mipaka yetu (na si ndani ya Tanganyika) ulete upendo pale penye chuki.... Daaah umenikumbusha mbali kiongozi...Mbona hawakumbuki kumuombea mchawii foro ganze muasisi wa mwenge
Vipi meza boga basi upunguze hasira...Taahira.ra mkubwa wewe, utaishi milele enh? lini JPM alisema ataishi milele?
Nashangaa sana sijui kwanini huyu mwamba hawamkumbuki Huyu mchawi muasisi wa mwengeHuyu Ganze katuachia hii makitu... ", Tutauwasha mwenge na kuupandisha juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro umulike nje ya mipaka yetu (na si ndani ya Tanganyika) ulete upendo pale penye chuki.... Daaah umenikumbusha mbali kiongozi...
Kwa hiyo kwako wewe mtu akiweza tu kuwafanya CDM waufyate anafaa kuwa Rais? Hao CDM watakuwepo milele?Wana JF wachangiaji wazuri wa michango kwa CCM watatu (3) wanaotaka kwenda nitakwenda nao kwa gharama zangu, wawasiliane kwenye Inbox yangu.
Tukamkumbuke shujaa kwa kushiriki misa takatifu na watu wengine wema huko Chato, nitatoa offer kwa mwenye kutaka tupite Machame kusalimia ndugu na wazazi. John Pombe Magufuli kiboko ya upinzani , mwana CCM aliefanya Chadema waufyate.
Tufanye sana maombi aje JPM mwingine.
Ibada ya shetaniWaziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT
Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.
Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.
Source: Star tv!
Ibada ya shetani haina baraka , kama unatafuta laana endeleaWana JF wachangiaji wazuri wa michango kwa CCM watatu (3) wanaotaka kwenda nitakwenda nao kwa gharama zangu, wawasiliane kwenye Inbox yangu.
Tukamkumbuke shujaa kwa kushiriki misa takatifu na watu wengine wema huko Chato, nitatoa offer kwa mwenye kutaka tupite Machame kusalimia ndugu na wazazi. John Pombe Magufuli kiboko ya upinzani , mwana CCM aliefanya Chadema waufyate.
Tufanye sana maombi aje JPM mwingine.
laana ishawatenganisha , mnagombea fito !Kwa hiyo kwako wewe mtu akiweza tu kuwafanya CDM waufyate anafaa kuwa Rais? Hao CDM watakuwepo milele?
Hivi tutaendeleza hii ibada ya sanamu hadi lini Watanzania?Waziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT
Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.
Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.
Source: Star tv!
Juha wa NSSF Na roho mbaya...Maoni ya juha ,utaishi milele
Naa Alaaniwe aneyeasisi Fao la kujitowa Duniani na Mbinguni....laana ishawatenganisha , mnagombea fito !
Chato iwe mko na Zanzibar iwe nchi, ngoma 'droo'.WATU WALUPONDA CHATO NA KUMPONDA MAGUFURI,,SASA WAMWGUBDUA WATANZANIA WANAMTHAMINI MAGUFURI WAMEAMUA KUJIRUDI..NAKUHAKUKISHIA CHATO ITAKUWA MKOA KABLA YA 2025
Jambo kuu kwasasa ni mamady doumboya huu wenu ni utopoloWaziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT
Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.
Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.
Source: Star tv!
Mamady doumboya unamjua?Wana JF wachangiaji wazuri wa michango kwa CCM watatu (3) wanaotaka kwenda nitakwenda nao kwa gharama zangu, wawasiliane kwenye Inbox yangu.
Tukamkumbuke shujaa kwa kushiriki misa takatifu na watu wengine wema huko Chato, nitatoa offer kwa mwenye kutaka tupite Machame kusalimia ndugu na wazazi. John Pombe Magufuli kiboko ya upinzani , mwana CCM aliefanya Chadema waufyate.
Tufanye sana maombi aje JPM mwingine.
Nyerere yuko chini ya Magufuli! Haiwezekani, inamaana mama Maria na familia yake atakuwa chini ya mke wa Magufuli! Wameishusha hadhi ya Nyerere na kumpandisha Magufuli, bora waiondoe misa ya kumuombea Nyerere.Waziri Jenister Mhagama amesema mwenge wa uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT
Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.
Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.
Source: Star tv!
Hao CDM watakuwepo milele? CDM ni chama si mtu na wananachama hufariki kila mmoja kwa siku yake.Kwa hiyo kwako wewe mtu akiweza tu kuwafanya CDM waufyate anafaa kuwa Rais? Hao CDM watakuwepo milele?