Mwenge wa Uhuru utazimwa Chato mkoani Geita ukiambatana na Misa takatifu ya kuwaombea mahayati Magufuli, Mkapa na Nyerere katika Kanisa Katoliki

Maisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!

Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,
Imeandikwa,kila nafsi itaonja mauti
 
Maisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!

Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania
Nani ataepuka hiyo hatua? je ni wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…