Mwenye apple id anisaidie niongeze app kwenye hii iphone yangu

Mwenye apple id anisaidie niongeze app kwenye hii iphone yangu

Superboy

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
45
Reaction score
6
Hi wapendwa mwenzenu hii simu inanichosha sasa.

Nina iphone3g nashindwa kudawnload kwasababu sina apple id nimejaribu kufungua kwakutumia hii simu nashindwa kwasababu KWENYE billing hamna option ya none.

Kama unauwezo wakunisaidia nisaidieni sitakuacha hivihivi kuna kifuta jasho. Mnisamehe Kama ntakuwa nawaudhi.

Asante.
 
Hi wapendwa mwenzenu hii simu inanichosha sasa . Nina iphone3g nashindwa kudawnload kwasababu sina apple id nimejaribu kufungua kwakutumia hii simu nashindwa kwasababu KWENYE billing hamna option ya none. Kama unauwezo wakunisaidia nisaidieni sitakuacha hivihivi kuna kifuta jasho. Mnisamehe Kama ntakuwa nawaudhi. Asante.

Mi sijui nina apple pia ila sijafuatilia

lakini nimevutiwa na kifuta jasho mkuu!

Sa umuudhi nani na kivip?
 
Back
Top Bottom