Mwenye connection ya kazi halali yoyote anisaidie nipo

Mwenye connection ya kazi halali yoyote anisaidie nipo

Creah

Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
82
Reaction score
84
Habari wanaJamiiForums

Naomba mtu yeyote mwenye mchongo wa kazi anisaidie.

Kitaaluma Mimi ni mwalimu ila Nina fani mbalimbali ninazoziweza tofauti na uwalimu kama vile.
-Ujenzi
-Computer
-kusimamia biashara/mradi
Hivyo mtu yeyote mwenye mchongo anisaidie nipo Dodoma
Contact
* Mob; 0676111991/0614111991
*WhatsApp ;0676111991
*Email; [email protected]
 
Habari wanajamii forum.

Uwalimu? Huko huwezi kama unaandika UWALIMU maana yake hapo kichwani huna kitu. Labda ufundi, ujenzi na biashara.
 
Uwalimu? Huko huwezi kama unaandika UWALIMU maana yake hapo kichwani huna kitu. Labda ufundi, ujenzi na biashara.
Brooooooo... Apply for the job even if you don't think you meet all of the requirements. Let THEM disqualify you, never disqualify yourself. Never be the one who says no to yourself.
 
Back
Top Bottom