Mwenye connection ya mfanyakazi wa ndani anipe tafadhali

DIRIMULAINA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
921
Reaction score
1,720
Wakuu, nahitaji dada wa kazi za ndani kwa Dodoma, familia ni ndogo ya mama na watoto wawili miaka 6 na mwingine miezi 5. Kazi kubwa ni kumwangalia mtoto mdogo wakati mama akiwa kazini.

Shughuli zingine ni ndogo ndogo ambazo watasaidiana na mama.
Uwezo wa malipo ni Tsh laki 1 kwa mwezi pamoja na huduma nyingine za kibinadamu. NB: Mwezi wa kumi wanahamia Dar.

Karibu PM kwa alie na koneksheni.
 
Wakuu, nahitaji dada wa kazi za ndani kwa dodoma, familia ni ndogo ya mama na watoto wawili miaka 6 na mwingine miezi 5. kazi kubwa ni kumwangalia mtoto mdogo wakati mama akiwa kazini.
Shughuli zingine ni ndogo ndogo ambazo watasaidiana na mama.
Uwezo wa malipo ni Tsh laki 1 kwa mwezi pamoja na huduma nyingine za kibinadamu. NB: Mwezi wa kumi wanahamia Dar.

Karibu PM kwa alie na koneksheni.
Akiwa mkoani utamsafirisha?
Vipi tukimsafirisha na bahati mbaya ikatokea akakusumbua?

All the best, mshahara mnono huu.
 
Vipi posho ya mtoa connection ipo mdada yupo Nyakanazi ni wewe kutuma nauli tu
 
Nilituma nauli mtoto katoka ngara had moshi kufika kumbe msichana ni kichaa... Yan yule kichaa og kabisa haha oyaa acheni tu
 
Wakuu, nahitaji dada wa kazi za ndani kwa Dodoma, familia ni ndogo ya mama na watoto wawili miaka 6 na mwingine miezi 5. Kazi kubwa ni kumwangalia mtoto mdogo wakati mama akiwa kazini.

Shughuli zingine ni ndogo ndogo ambazo watasaidiana na mama.
Uwezo wa malipo ni Tsh laki 1 kwa mwezi pamoja na huduma nyingine za kibinadamu. NB: Mwezi wa kumi wanahamia Dar.

Karibu PM kwa alie na koneksheni.

Wako mashambani subiri msimu wa kilimo uishe utawachoka.
 
Back
Top Bottom