Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Amen...🙏Mimi nakukumbuka sana karibia kila siku
Wasalimie wote bila kumsahau wajina ipo siku nitakuja kuwasalimia.
Happy new year Uncle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen...🙏Mimi nakukumbuka sana karibia kila siku
Wasalimie wote bila kumsahau wajina ipo siku nitakuja kuwasalimia.
Happy new year Uncle
Namba nilipoteza😢Amen...🙏
Njoo uchukueNamba nilipoteza😢
😂😂😂😂 Sipati picha ulivyochoka mwili na roho ulipomuona.Nilituma nauli mtoto katoka ngara had moshi kufika kumbe msichana ni kichaa... Yan yule kichaa og kabisa haha oyaa acheni tu
Mimi nilileta mmoja toka Nyakanazi mpaka Dsm, kafika saa 4 Asubuhi kesho yake kapandisha Mashetani, yanataka arudishwe kwao.Nilituma nauli mtoto katoka ngara had moshi kufika kumbe msichana ni kichaa... Yan yule kichaa og kabisa haha oyaa acheni tu
Hahahaha ni kisangaaMimi nilileta mmoja toka Nyakanazi mpaka Dsm, kafika saa 4 Asubuhi kesho yake kapandisha Mashetani, yanataka arudishwe kwao.