Mwenye connection ya mfanyakazi wa ndani anipe tafadhali

Kwa nini ulimfukuza huyo dada wa kazi aliekuwepo??
 
Nilituma nauli mtoto katoka ngara had moshi kufika kumbe msichana ni kichaa... Yan yule kichaa og kabisa haha oyaa acheni tu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Sipati picha ulivyochoka mwili na roho ulipomuona.
 
Nilituma nauli mtoto katoka ngara had moshi kufika kumbe msichana ni kichaa... Yan yule kichaa og kabisa haha oyaa acheni tu
Mimi nilileta mmoja toka Nyakanazi mpaka Dsm, kafika saa 4 Asubuhi kesho yake kapandisha Mashetani, yanataka arudishwe kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ