Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
Kipaji Halisi Ngoja Nimpe au Niwape Vipande Vyao Wale Wote Wanaotaka Kudandia Treni Ya GENTAMYCINE Kwa Mbele Na Nina Ukweli Zaidi Ya Huo Na Mkizidi Kunitibua Nitawaandikieni Hapa WARAKA Wote au MZIMA Wa Kundi Zima La Friends of Simba Limeundwaje na Linafanyaje Kazi Ila Kwa Kifupi tu Hili Ni Kundi La Wahuni na Wajanja Wajanja Wa Mjini Wanaoishi Kwa Mgongo Wa Wachezaji wa Simba. Nami Nilijifanya Naungana Nao ila Nilikuwa Nataka tu Nijue Hili Kundi Lipoje Na Nimetoka Na Ripoti Kamili Ya Kuhusiana Na Hili Kundi La Friends of Simba. Narudia Tena TUTU VENGERE Hakika Hakukosea Kutuita Sisi Wana Simba MAMBUMBUMBU. Sioni Mazuri Ya Huyo Mgombea Mchaga Wala Huyu Mwingine tena Poti Wangu ( Ndugu Yangu ) Mkurya Kwani Wote Ni Wale Wale tu ILA Yupo Mgombea Mmoja Ambaye Amechukua Fomu Nadhani Kama Tutataka Kumaliza Makundi Simba Huyu Angetufaa Sana Wana Simba ILA Najua Hawezi Kupita Kwakuwa Hana Pesa, Hahongi Na Siyo Muhuni Wala Mjanja Mjanja Kama Hao Wawili Watajwa Hapo Juu Kwani Upuuzi Wao Wa Kuwagawa Wachezaji ILI Kumharibia Rage Ndiyo Umeifikisha Simba Hapo Ilipo Na Nina Ushahidi Wa Kutosha Wa Kumhusu Huyo Mgombea Wenu Mr. ARV na Huyo Mgombea Umakamu Mr. MACHO KUFIFICHA Zeru Zeru Wa Jinsi Walivyokuwa Wakichochea Wachezaji Wa Simba Wacheze Chini Ya Kiwango ili Kumfanya Rage Aonekane Mbaya Na Walikuwa Wakimtumia Sana Mchezaji MNAFIKI Henry Joseph na Kwa Msiojua Na ktk Hali Ya Kushangaza Golikipa MNAFIKI Juma Kaseja Japo Yupo Yanga Lakini Kila Kukicha Anawasiliana Na Wana Simba Wanafiki Wenzie ILI Rafiki Yake Huyo Mkubwa EA na Mume Mwenzie GN Wachaguliwe Na Nawahakikishieni Kama EV na GN Wakichaguliwa Basi Mjue Juma Kaseja Juma Anarudi Simba Na Tutakoma....................... KAZI Kwenu MAMBUMBUMBU Wenzangu.
Mkuu nakuelewa sana ....ule Uzi Wng niliandika foS wanarudi simba ..kuendeleza usanii..Rage aliwamudu ingawa walikua walimvuruga...