Wewe Na Mwenzako hapo Chini Hamna Hoja Na Mmejaa UNAFIKI Mtupu. Mimi Kusema Hayo Kinawauma Mbona Hamuwakatazi Watu Tena Wakubwa tu Na Wazito Wanaompiga Vita Kipenzi Changu Edward Ngoyai Lowassa Kuwa Ana Afya Mbaya Na Hafai Hata Kupewa Nchi Kuiongoza Na Kuwa Rais Wetu Mwakani????? Je Wewe Malinzi Hili Hukuliona??? Na Mbona Hujalikemea? Na Nakumbuka Ulipopata tu Urais Ulikuwa Wa Kwanza Kujipendekeza Kwa Lowassa Sasa Mbona Sikuoni Kukemea Wana CCM Wenzako Tena Wengi Wao Wakiwa Ni Vigogo na Watoto Wa Wakubwa ktk Serikali Kuwa Waache Kufanya Hiyo Character Assasination Kwa Rais Wetu Mteule Wa Tanzania Mwakani Lowassa? Najua Ya Kuwa Una Maslahi Yako Kwa Huyu Unayemtetea Pamoja Na Mshikaji Wako MACHO KUFIFICHA a.k.a ZERU ZERU Mliyenae Cargo. Naamini Wewe Ni Msomi na Kizuri Zaidi Tena Ni Mtani Wangu SIFA MOJA KUBWA YA KUWA KIONGOZI POPOTE PALE DUNIANI NI KUWA NA AFYA NZURI ILI UWEZE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKO KWA UFASAHA Hivyo Kama ktk Siasa Mnampiga Majungu Lowassa Kuwa Ana Afya Mbaya na Hafai Kuwa Rais Wetu Watanzania Basi Na Mimi GENTAMYCINE Nasema Huyo Unayemtetea Kwa Afya Yake Mbovu Narudia Kwa Msisitizo AFYA YAKE MBOVU Hatufai Wana Simba Na Nitalisimamia Hili Hata Kama Atapita. Sina Kundi Lolote Simba ILA Nataka tu Kiongozi Atakayerudisha HADHI na HESHIMA Ya Simba Yetu. Rejea Kampeni Za Uchaguzi Wa Urais Mwaka 2005 Na Hata Mwaka 2010 Lipumba Wa CUF Alizushiwa Nini au Alipingwa Kwa Lipi? Na Mbatia Nae Wadau Walimpinga Kwa Lipi? Mbona Sikuwaona Mkijitokeza Kupinga Kushambuliwa Kwao???? ACHENI UNAFIKI na KUJIFANYA MNAMUONEA Huruma Mbona Hamkumshauri Aache UFUSKA Wake ULIOPELEKEA Kuwa Hivyo Alivyo Sasa???? Na Mmemwona Huyo tu Wakati Yupo Mwenziye Nae ANAGOMBEA UMAKAMU na Yeye Pia Ni SHOTI Kama Yeye ( AMEUNGUA ). Simba Siyo Sehemu Ya Kutafutia Pesa Za KUNUNULIA ARV's Na Kupatia Pesa Za Kwenda Kubadilishia Damu Groote Sckul Hospital South Africa Na Appolo Nchini India. NAKUHESHIMU Sana Kaka Yangu Na Rais Wangu Malinzi ILA Kwa Hili TUTAPISHANA Kidooooooogo...............!!!!!!!!!!!!!!!!!! Vipi Ile Ripoti Ya Kumhusu Frank Domayo Bado Hujaletewa tu????? Mbona Zile Wiki Mbili Ulizozitoa Zimefika?????????? au Umemwongezea Muda????? NILIKUWA Sijui Kama na Wewe Ni Bonge La MNAFIKI Hivi Na Naanza Sasa Kukudharau Japo Nasita Kwakuwa Wewe Ni MTANI Wangu. Nasubiri tu Kwa Hamu Maamuzi Yako ktk Suala La Kiungo Frank Domayo. Usiku Mwema MTANI.