Mwenye CV ya Aveva


Mkuu nakuelewa sana ....ule Uzi Wng niliandika foS wanarudi simba ..kuendeleza usanii..Rage aliwamudu ingawa walikua walimvuruga...
 
Invisible na mods wengine kile kitufe cha dislike kwa nini hamtaki kukiweka lakini yaaani kupindisha tu hilo dole la like kwenda chini linawashinda au nini tatizo.
 
Maelezo Yako Mafupi Yaliyojaa Busara Yapo Wapi?????????????

naipenda simba lakini sio kiviiile,usifanye personal attacks sio nzuri,kila binadamu ana mapungufu yake ikiwemo wewe! Unapoamua kumjadili mtu,jadili mapungufu yake kiuongozi,ukijadili maisha yake na afya yake haitusaidii hata kidogo,sema watu hawa hawafai kwa sababu ni wezi kwa mfano,wapiga deal,nk tutakuelewa,kama mtu ana ukimwi sisi haituhusu,ukimwi haumzuii mtu kuwa kiongozi bora
 
Invisible na mods wengine kile kitufe cha dislike kwa nini hamtaki kukiweka lakini yaaani kupindisha tu hilo dole la like kwenda chini linawashinda au nini tatizo.

well said mkuu,kuna watu wanakera humu! Wanajadili afya za watu utadhani anachaguliwa bwana afya bhana!
 

Wapi Nimeandika Mgombea Urais Simba Ana UKIMWI????? Mkuu Nakuheshimu Sana Na Usinitafute Sawa???? au Wewe Ndiyo Mlengwa Mwenyewe???? TAFADHALI Acha KUNITAFUTA. au Na Wewe Ni Una SHOTI Pia???? Kama Kuwa Na Shoti Ni Dili Mbona Jeshini JWTZ na JKT Ukijulikana Wewe Ni Shoti Hawakuchukui????? Sasa Kati Ya Mimi Na Hizo Taasisi Nyeti Tajwa Hapo Juu Nani Ni Mbaguzi au Mnyanyapi???? Hivi Wewe Una Akili Kweli???? Mbona Huzilaumu Hizo Taasisi???? au Una GENYE na Gentamycine???? FUMBAPU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu yaonekana yu pamoja wale friends of simba akina khasim Dewji,ni mwizi tu kama wenzake,jembe hapo ni M Wambura pekee.

Kuna wakati alikuwa meneja wa Embassy Hotel pale nyuma ya Posta Mpyamoja ya hotel zilizokuwa za kisasa miaka ya nyuma,ilimfia mkononi mwake.
 

cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
Kuna wakati alikuwa meneja wa Embassy Hotel pale nyuma ya Posta Mpyamoja ya hotel zilizokuwa za kisasa miaka ya nyuma,ilimfia mkononi mwake.

hizi ndo hoja ninazotaka kuzisikia! Hazina uhusiano na maisha binafsi ya mtu!
 
hizi ndo hoja ninazotaka kuzisikia! Hazina uhusiano na maisha binafsi ya mtu!

Mnapoyaongelea Humu Maisha Binafsi Hadi Ya Mheshimiwa Rais Wetu, Familia Yake Na Viongozi Wengine Hapo Huwa Inakuwaje? Nakupa Kazi Jaribu Kupitia Post Mbalimbali Humu Uone Watu Wanavyoongelea Maisha Binafsi Ya Watu Tena Ya Ndani Haswa Kuliko Hata Ya Huyu BASHA Wako Unayemtetea. Kwa Mfano tu Wa Watu Ambao Husemwa Mambo Yao Binafsi Sana Humu JF Ni Hawa :
JK Mwenyewe
Mama Wa Taifa
Wema Sepetu
Ephraim Kibonde
Juma Kapuya
Shilole
Diamond Platinum
Wilbroad Slaa
Edward Lowassa
Hassan Marin Hassan
Reginald Mengi
Na Wengine Wengi Tu Wadau Wengine Watanisaidia Kukumbushia Sasa Kama Wewe GASHO Ni Mtetezi Wa Watu Mbona Nikipitia Post Za Kushambuliwa Kwa Watu Hao Tajwa Hapo Juu Sijaona Hata Sehemu Moja Uliyokemea Kuwa Wasishambuliwe au Wasizungumziwe Maisha Yao Binafsi????? Jifunze Kujenga Hoja Na Acha Kuwa Na Tabia Za KEKI KEKI Na Kamwe USITAFUTE KIKI Kupitia GENTAMYCINE. Nimemaliza Na Nafunga Rasmi Mjadala Wa Suala Hili La Ugombeaji Urais Simba Ila SIMBA SIYO SEHEMU YA KUTATUA MATATIZO YA MTU BINAFSI na SIYO KICHAKA CHA WAJANJA WAJANJA, MATAPELI, WANYONYAJI na WAHUJUMU...........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kazi Kwako.
 
Alafu kwenye sera zake utaskia kazi yake kubwa nikuhahikisha anaifunga Yanga basi mengine yatafuata
 
kuna watu wanajadili mambo binafsi utasema wanamkataba na mungu kwamba wao wataishi maisha yao yote kama malaika! nimechukizwa sana na hili
 

Na mimi naisubiri hii ripot kwa hamu kubwa! Mh. Mali Hizi, tunaisubiri tafadhali, ita waandishi uitoe hadharani bana!
 
Tanzania tunasafari ndefu kuwa na Binadamu wa dizaini hii ,nashindwa kujua ni profound au ana mild mental problem.Bure kabisa jitambue mkuu,huwezi kujienga hoja mpaka kushambulia watu shit.
 
Angalia usivyojitambua
 
Angalia usivyojitambua

mkuu usiniguse mimi nimeamua kumpotezea tu,make nimeona napoteza energy yangu bure kwa mtu wa hovyo kabisa,kasema ni mkurya,pamoja na kwamba mimi pia ni mkurya,sijawahi kuona mkurya pumba hvi,labda mkurya aliyezaliwa keko mwanga.
 
Last edited by a moderator:

Naomba utupostie huo waraka!
 

"CHENGA YA MAGUFULI LOWASSA HAKABI-GENTAMYCINE"... ama kweli ukiwa mnafiki uwe na kumbukumbu!
 
Duh kumbe alikuwa una mpigia debe lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…