Mwenye CV ya Aveva

Duh kumbe alikuwa una mpigia debe lowassa

Mbona Hushangai Mbowe, Mnyika Na Lissu Walikuwa Wanamtukana Na Hadi Kumpinga Lowassa Hadi Mishipa Yao Ya Matako Iliwasimama Lakini Mwaka Jana Hao Hao Wakalamba Matapishi Yao Na Kumpigia Kampeni Tena Awe Rais Wetu?
 
kumbe wewe ungali team lowassa?
 
Pi
Kuna wakati alikuwa meneja wa Embassy Hotel pale nyuma ya Posta Mpyamoja ya hotel zilizokuwa za kisasa miaka ya nyuma,ilimfia mkononi mwake.
Pia, alikuwa Sales Manager wa Bahari Beach Hotel. Enzi hizo nikitoka zangu mamtoni nilikuwa nampa bidhaa kama saa, eleni na raba ananiuzia then anachukus commission yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…