Tatizo walikimbia umande. Serikali hii ukiwa chawa na shule unayo hauwezi kuchacha kwa kweli.KITENJE na Zembwela wanatumiwa tu.
kuihakikishia ccm inaendelea kubaki madarakaniHao usalama hivi ni kwa ajili ya nini hasa
CV kubwa ni kada wa CCM. OverNaomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.
Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea Taifa au Serikali pale tunapolazimika kufanya hivyo.
Je, kuzungumza na waandishi wa habari akiwa DC Temeke linatosha kuwa chanzo cha kuwa msemaji wa serikali?
What are the quality behind appointment
Sasa nani ataangalia usalama!?Aisee[emoji3][emoji3]
Hawa usalama nowdays ndiyo wanajaza nafasi nyingi serikalini za uteuzi..
EEeeenHeeeee!Mobhare Matinyi ni mtu na nusu kuliko yule wa BBC milokuwa mkimpigia debe ... zaidi ya saba alioloondoka nalo hana zaidi.
Yaelekea humjui vizuri. Ni kati ya waandishi wa habari wabobefu mno. Waliofanya nao kazi watanisaidia.Naomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.
Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea Taifa au Serikali pale tunapolazimika kufanya hivyo.
Je, kuzungumza na waandishi wa habari akiwa DC Temeke linatosha kuwa chanzo cha kuwa msemaji wa serikali?
What are the quality behind appointment
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao usalama hivi ni kwa ajili ya nini hasa
Huyo mdogo wake ndiyo alisoma na Kabila.Alikuwa Mwandishi wa Gazeti la Majira na aliwahi kuishi muda mrefu Marekani. Alisoma na aliyekuwa rais wa DR Congo, Joseph Kabila mdogo wake Masiyaga alikuwa Mwandishi wa Gazeti la Mtanzania.
Mkurugenzi wa idara ya habari(Maelezo) ofisi yake haipo ikulu wala hafanyi kazi chini ya Ikulu.Kutoka wilayani temeke mpaka kwenye Shina la asali ikulu kweli kuna watu waganga wao hawalali sio Mchezo
Cc: Geson Msigwa pitia nyaraka zakeMkurugenzi wa idara ya habari(Maelezo) ofisi yake haipo ikulu wala hafanyi kazi chini ya Ikulu.
Nyaraka zipi,najua Msigwa alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu na baadaye pia aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya habari(Maelezo) na baadaye aliachishwa ile ya Ikulu akabaki na Ukurugenzi wa idara ya habari peke yake na aliondoka Ikulu.Cc: Geson Msigwa pitia nyaraka zake
Mtu na nusu....[emoji2956]DAR ES SALAAM: Julai 2 mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Mwanahabari Mobhare Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam. Miezi mitatu baadaye amemteua Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Matinyi mbali na kuwahi kuwa mkufunzi katika Kituo cha Diplomasia cha Musumbiji-Tanzania amekuwa mwanahabari na mchambuzi wa maswala mbalimbali mengi yakilenga kuitetea Tanzania. Pia amewahi kuwa na ukurasa – column katika gazeti la kiingereza la ‘The Citizen’ – The Eagle’s Eye na ameandika Makala mbalimbali kupitia gazeti la Jamhuri.
Wengi wanamkumbuka Matinyi kwa uchambuzi wake tunduizi wa mabendekezo ya Chadema kuhusu Katiba mpya wakati huo akiwa kama Mshauri Mwelekezi huko nchini Marekani.
Hata hivyo, kabla ya kuwa Mkuu wa Wilaya, Mwanahabari huyu kitaaluma, alikuwa akitumika kwenye jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika maarufu kama SADC. Kwa sasa Matinyi anaenda kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa, aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Majungu si mtaji....Ni team Membe so ni team Nape.Nape ndo kampogia chapu kwa Samia .Imeenda hiyo.
[emoji2956][emoji2956]Yaelekea humjui vizuri. Ni kati ya waandishi wa habari wabobefu mno. Waliofanya nao kazi watanisaidia.
Ndiyo ama ndiye?!!Huyo mdogo wake ndiyo alisoma na Kabila.
Wewe ndiyo unajua unachokitaka ukiona ndiyo ni sahihi sawa au ndiye ni sahihi sawa.
Kukaa muda mrefu Marekani ni uzalendo? Ni sifa ya uzalendo? Acunguzwe uraia wake isije kuwa opportunismKwa hiyo ameteuliwa kwa sababu yeye na mdogo wake ni watu wa vitengo?
Amewahi kufanikiwa katika jambo gani ambalo TAIFA linaweza kujivunia?
Creativity yake imelala kwenye maeneo gani? Is he from familia bora or bora familia?
Punguza jazba mkuu[emoji1787]Wewe ndiyo unajua unachokitaka ukiona ndiyo ni sahihi sawa au ndiye ni sahihi sawa.