Mwenye CV ya Msemaji Mpya wa Serikali atusaidie? Atueleze amewahi kufanya nini cha kukumbukwa kwenye maisha yake ya utumishi au siasa?

Mwenye CV ya Msemaji Mpya wa Serikali atusaidie? Atueleze amewahi kufanya nini cha kukumbukwa kwenye maisha yake ya utumishi au siasa?

Naomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.

Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea Taifa au Serikali pale tunapolazimika kufanya hivyo.

Je, kuzungumza na waandishi wa habari akiwa DC Temeke linatosha kuwa chanzo cha kuwa msemaji wa serikali?

What are the quality behind appointment
CV kubwa ni kada wa CCM. Over
 
Mobhare Matinyi ni mtu na nusu kuliko yule wa BBC milokuwa mkimpigia debe ... zaidi ya saba alioloondoka nalo hana zaidi.
EEeeenHeeeee!

Hiyo CV ....

Lakini ndiyo hivyo tena, mambo yetu yapo shaghalabaghala kila mahala.

Inabidi niombe radhi kwa mkuu 'mubby777', kumbe stori yake ni ya kweli, nilidhani katunga tu hadithi.

Ninachomsifia huyu mteuliwa, licha ya hiyo CV ilivyokaa, ni kwamba anaonekana ni mtu anayejishughulisha sana kufanya mambo. Anaandika, anachambua, n.k.; hilo ni jambo jema sana.
Sasa natamani kuona mfano wa uchambuzi au makala alizotoa ili nijue uzito/umahiri wake katika mambo hayo.
 
😂😂😂 tuseme wewe unajuawa anayestahili kuliko jopo laserikali?? Au sijaelewa?? Sirikali enyewe inafanya Nini hasa??
 
Naomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.

Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea Taifa au Serikali pale tunapolazimika kufanya hivyo.

Je, kuzungumza na waandishi wa habari akiwa DC Temeke linatosha kuwa chanzo cha kuwa msemaji wa serikali?

What are the quality behind appointment
Yaelekea humjui vizuri. Ni kati ya waandishi wa habari wabobefu mno. Waliofanya nao kazi watanisaidia.
 
Alikuwa Mwandishi wa Gazeti la Majira na aliwahi kuishi muda mrefu Marekani. Alisoma na aliyekuwa rais wa DR Congo, Joseph Kabila mdogo wake Masiyaga alikuwa Mwandishi wa Gazeti la Mtanzania.
Huyo mdogo wake ndiyo alisoma na Kabila.
 
Cc: Geson Msigwa pitia nyaraka zake
Nyaraka zipi,najua Msigwa alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu na baadaye pia aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya habari(Maelezo) na baadaye aliachishwa ile ya Ikulu akabaki na Ukurugenzi wa idara ya habari peke yake na aliondoka Ikulu.
 
DAR ES SALAAM: Julai 2 mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Mwanahabari Mobhare Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam. Miezi mitatu baadaye amemteua Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Matinyi mbali na kuwahi kuwa mkufunzi katika Kituo cha Diplomasia cha Musumbiji-Tanzania amekuwa mwanahabari na mchambuzi wa maswala mbalimbali mengi yakilenga kuitetea Tanzania. Pia amewahi kuwa na ukurasa – column katika gazeti la kiingereza la ‘The Citizen’ – The Eagle’s Eye na ameandika Makala mbalimbali kupitia gazeti la Jamhuri.

Wengi wanamkumbuka Matinyi kwa uchambuzi wake tunduizi wa mabendekezo ya Chadema kuhusu Katiba mpya wakati huo akiwa kama Mshauri Mwelekezi huko nchini Marekani.

Hata hivyo, kabla ya kuwa Mkuu wa Wilaya, Mwanahabari huyu kitaaluma, alikuwa akitumika kwenye jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika maarufu kama SADC. Kwa sasa Matinyi anaenda kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa, aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Mtu na nusu....[emoji2956]

Ninamkumbuka kipindi nami ninaandika makala zangu za SIASA ndani ya gazeti nguli la Jamhuri ya akina ankali Deodatus Balile.

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni team Membe so ni team Nape.Nape ndo kampogia chapu kwa Samia .Imeenda hiyo.
Majungu si mtaji....

Yaani Nape Nnauye ndiye awe wa kumpigia chapuo kwa mh.Rais ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]

Hauko serious...

Kabisaaaa hauko serious [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ameteuliwa kwa sababu yeye na mdogo wake ni watu wa vitengo?

Amewahi kufanikiwa katika jambo gani ambalo TAIFA linaweza kujivunia?

Creativity yake imelala kwenye maeneo gani? Is he from familia bora or bora familia?
Kukaa muda mrefu Marekani ni uzalendo? Ni sifa ya uzalendo? Acunguzwe uraia wake isije kuwa opportunism
 
Back
Top Bottom