S Sanze M JF-Expert Member Joined Jul 20, 2021 Posts 4,141 Reaction score 8,602 Oct 2, 2023 #61 Mkunazi Njiwa said: Punguza jazba mkuu[emoji1787] Nisamehe mkuu wangu [emoji120] Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app Click to expand... Jazba ipo wapi hapo,mimi sio mtaalam wa kiswahili uwa najiandikia tu kama tunavyozungumza uswahilini ndiyo maana nimekujibu vile.
Mkunazi Njiwa said: Punguza jazba mkuu[emoji1787] Nisamehe mkuu wangu [emoji120] Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app Click to expand... Jazba ipo wapi hapo,mimi sio mtaalam wa kiswahili uwa najiandikia tu kama tunavyozungumza uswahilini ndiyo maana nimekujibu vile.
Mkunazi Njiwa JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 8,538 Reaction score 7,559 Oct 2, 2023 #62 Chifu Sanze said: Jazba ipo wapi hapo,mimi sio mtaalam wa kiswahili uwa najiandikia tu kama tunavyozungumza uswahilini ndiyo maana nimekujibu vile. Click to expand... Nimekupata mkuu wangu.... Nimekuelewa mkuu [emoji106] Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Chifu Sanze said: Jazba ipo wapi hapo,mimi sio mtaalam wa kiswahili uwa najiandikia tu kama tunavyozungumza uswahilini ndiyo maana nimekujibu vile. Click to expand... Nimekupata mkuu wangu.... Nimekuelewa mkuu [emoji106] Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
E Embezzler JF-Expert Member Joined Sep 8, 2023 Posts 2,290 Reaction score 5,716 Oct 2, 2023 #63 Victoire said: Tatizo walikimbia umande. Serikali hii ukiwa chawa na shule unayo hauwezi kuchacha kwa kweli. Click to expand... Ugumu uko hapo kwenye uchawa hasa ukiwa mwanamme. Yani badala ya kumsifia mkeo unaanza kuwasifia wanaume wenzio. Ndio maana nchini Kenya Ni tusi kubwa Sana kumuita mtu MWIJAKU.
Victoire said: Tatizo walikimbia umande. Serikali hii ukiwa chawa na shule unayo hauwezi kuchacha kwa kweli. Click to expand... Ugumu uko hapo kwenye uchawa hasa ukiwa mwanamme. Yani badala ya kumsifia mkeo unaanza kuwasifia wanaume wenzio. Ndio maana nchini Kenya Ni tusi kubwa Sana kumuita mtu MWIJAKU.