Mwenye CV ya Msemaji Mpya wa Serikali atusaidie? Atueleze amewahi kufanya nini cha kukumbukwa kwenye maisha yake ya utumishi au siasa?

Mwenye CV ya Msemaji Mpya wa Serikali atusaidie? Atueleze amewahi kufanya nini cha kukumbukwa kwenye maisha yake ya utumishi au siasa?

Tatizo walikimbia umande. Serikali hii ukiwa chawa na shule unayo hauwezi kuchacha kwa kweli.
Ugumu uko hapo kwenye uchawa hasa ukiwa mwanamme. Yani badala ya kumsifia mkeo unaanza kuwasifia wanaume wenzio.
Ndio maana nchini Kenya Ni tusi kubwa Sana kumuita mtu MWIJAKU.
 
Back
Top Bottom