Mwenye experience na Nissan xtrail pliz anijuze uzuri na ubovu wake

Mwenye experience na Nissan xtrail pliz anijuze uzuri na ubovu wake

Gari yoyote ni matunzo mkuu kuna watu wanamilika magari ya ajabu sana miaka na miaka
Nilishawahi miliki magari kadhaa yanayoogopewa
1. Terious kid miaka 2
2. Daihatsu miaka 2
3. Mitisbishi pajero mwaka
Hiyo nisani hainaga shida, nunua tu mkuu uitunze , huku utaambulia tu mapovu mkuu
 
Go for european/American cars you will enjoy.
Power full and moderate fuel consumption
 
Pia watengenezaji wanatambua ubovu wa hizo Gari ndiyo maana wameshusha sana bei hasa kuanzia 2011. Kabla ya hapo bei ilikuwa juu sana.
 
Kila ninaposafiri kwenda kwetu ungonini, lazima njiani nikutane na hizo mbili au moja zimechemsha. Na hilo ndio tatizo lake kubwa. Kuna kipindi nilitaka kununua fundi wangu akanishauri niachane nalo, alisema hayo magari vimeo Mfumu wake wa cooling una matatizo
 
Gari yoyote ni matunzo mkuu kuna watu wanamilika magari ya ajabu sana miaka na miaka
Nilishawahi miliki magari kadhaa yanayoogopewa
1. Terious kid miaka 2
2. Daihatsu miaka 2
3. Mitisbishi pajero mwaka
Hiyo nisani hainaga shida, nunua tu mkuu uitunze , huku utaambulia tu mapovu mkuu

Huto tugari mkuu una roho ngumu dah! Utakua mpare wewe, yani kigari kama kiatu cha mtoto
 
Back
Top Bottom