Shilla boi
Member
- Nov 20, 2016
- 8
- 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Ni vigari vidogo kivipi mkuu?Hizo gari sizipendi hata kidogo. Maana ni vigari vidogo hafu vina engine kubwa na haviko luxury
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ni matunzo. Namiliki hiyo Nissan X-trail mwaka wa 6. Mwaka jana engine ilisumbua badala ya kuitengeneza nikanunua used kwa 1m pale Ilala, juzi nimetoka shamba mkoani inachapa mwendo kama kawaida.
Hushawahi imiliki au ndiyo story za vijiweni??
Utakoma mkuu
Mkuu gari mnatia maji ya bomba badala ya engine coolant, lazima itachemsha tu.Inatatizo la kuchemsha, mbaya zaidi huwa halitibiki kirahisi. Ni pasua kichwa hizo Gari.
Mbona zingine tunaweka maji hayo hayo ya bomba au mtaroni bado hazichemki?Mkuu gari mnatia maji ya bomba badala ya engine coolant, lazima itachemsha tu.
Ni sawasawa na kusema mbona natembea na mke wa mtu sikamatwi wakati wenzangu wanararuliwa marinda?? Its just a matter of time tu. But kosa liko pale pale.Mbona zingine tunaweka maji hayo hayo ya bomba au mtaroni bado hazichemki?
Gari yoyote ni matunzo mkuu kuna watu wanamilika magari ya ajabu sana miaka na miaka
Nilishawahi miliki magari kadhaa yanayoogopewa
1. Terious kid miaka 2
2. Daihatsu miaka 2
3. Mitisbishi pajero mwaka
Hiyo nisani hainaga shida, nunua tu mkuu uitunze , huku utaambulia tu mapovu mkuu