Chukulia kwamba wakati uko chuon,let say kuna gal ulikua unampenda mbaya,afu kila ukimwambia kuhusu hisia zako kwake anakuonyeshea dharau za waziwazi.asa ikitokea siku mmemalza chuo, we unapata ajira ya fasta fasta..miaka inasonga mbele, inatokea siku huyo gal anakuja ofisin kwenu afu kachoka mbaya na anatakiwa aonane na wewe ili uweze kumtatulia tatzo lake{let say wewe ndo unatakiwa uidhinishe aajiriwe au vp}utamsaidia kweli au utafanyaje?over
Kama ana sifa unatakiwa kumpa kazi.
kukukataa sio sababu ya wewe kumtosa.
Utakuwa na akili ndogo sana ukimnyima ajira kama ana sifa stahili.
Ulitaka awakubali wangapi
Smart move........OTIS...................hakuna visasi ukitaka kuifaidi dunia hii...........
ukiwa nae
kalibu/offisini utashindwa kufanya kazi zako vizuri kwa kumuwaaza uyo
zarau-gul
Kama ana sifa unatakiwa kumpa kazi.
kukukataa sio sababu ya wewe kumtosa.
Utakuwa na akili ndogo sana ukimnyima ajira kama ana sifa stahili.
Ulitaka awakubali wangapi
Hivi mtu akikukataa amekudharau?
kama ana qualifications za kazi na hapo ofisini kwenu mnahitaji kama yeye mpe kazi,ila kama hana mchane tu kwamba hamhitaji mtu kama yeye,na kumpa moyo kwamba ukipata mchongo mwingine utamshtua,kama atafanikiwa kupata kazi hapo,weka social distance kwanza maana anaweza akakupenda kwa ajili ya cheo chako,sio wewe kama wewe,,,,nakushauri utazame mbele,wadada wako kibao tu,jaribu kutafuta zaidi utampata mnae-match
kama ana vigezo ntampa ajira kwani mapenzi si lazima yawezekana sikuwa na vigezo alivyo hutaji.
Hivi mtu akikukataa amekudharau?