Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Chukulia kwamba wakati uko chuon,let say kuna gal ulikua unampenda mbaya,afu kila ukimwambia kuhusu hisia zako kwake anakuonyeshea dharau za waziwazi.asa ikitokea siku mmemalza chuo, we unapata ajira ya fasta fasta..miaka inasonga mbele, inatokea siku huyo gal anakuja ofisin kwenu afu kachoka mbaya na anatakiwa aonane na wewe ili uweze kumtatulia tatzo lake{let say wewe ndo unatakiwa uidhinishe aajiriwe au vp}utamsaidia kweli au utafanyaje?over