Mwenye experience ya hii kitu,anipe ushuhuda!

Mwenye experience ya hii kitu,anipe ushuhuda!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Chukulia kwamba wakati uko chuon,let say kuna gal ulikua unampenda mbaya,afu kila ukimwambia kuhusu hisia zako kwake anakuonyeshea dharau za waziwazi.asa ikitokea siku mmemalza chuo, we unapata ajira ya fasta fasta..miaka inasonga mbele, inatokea siku huyo gal anakuja ofisin kwenu afu kachoka mbaya na anatakiwa aonane na wewe ili uweze kumtatulia tatzo lake{let say wewe ndo unatakiwa uidhinishe aajiriwe au vp}utamsaidia kweli au utafanyaje?over
 
kama bado mzuri unamaliza shida yake na wewe unatngaza nia
 
Chukulia kwamba wakati uko chuon,let say kuna gal ulikua unampenda mbaya,afu kila ukimwambia kuhusu hisia zako kwake anakuonyeshea dharau za waziwazi.asa ikitokea siku mmemalza chuo, we unapata ajira ya fasta fasta..miaka inasonga mbele, inatokea siku huyo gal anakuja ofisin kwenu afu kachoka mbaya na anatakiwa aonane na wewe ili uweze kumtatulia tatzo lake{let say wewe ndo unatakiwa uidhinishe aajiriwe au vp}utamsaidia kweli au utafanyaje?over

Kama anasifa nitampa anachostahili lakini sitampendelea kwa sababu ya kujiwekea mazingira ya ku-do naye.......lol
 
Kama ana sifa unatakiwa kumpa kazi.
kukukataa sio sababu ya wewe kumtosa.
Utakuwa na akili ndogo sana ukimnyima ajira kama ana sifa stahili.
Ulitaka awakubali wangapi

Smart move........OTIS...................hakuna visasi ukitaka kuifaidi dunia hii...........
 
Tatizo si ajira kuumpa. Tatizo lauyo gul anakuzala sana.....Mwisho; usimpe ajira coz atakuzarau ata ukiwa nae offisini kwako, nibola umwambia nafasi amna akajaribu sehemu nyingine full stop.
 
Wadau amna kitu kibaya kama mtu kukufanyia zarau.
 
ukiwa nae kalibu/offisini utashindwa kufanya kazi zako vizuri kwa kumuwaaza uyo zarau-gul
 
kama ana qualifications za kazi na hapo ofisini kwenu mnahitaji kama yeye mpe kazi,ila kama hana mchane tu kwamba hamhitaji mtu kama yeye,na kumpa moyo kwamba ukipata mchongo mwingine utamshtua,kama atafanikiwa kupata kazi hapo,weka social distance kwanza maana anaweza akakupenda kwa ajili ya cheo chako,sio wewe kama wewe,,,,nakushauri utazame mbele,wadada wako kibao tu,jaribu kutafuta zaidi utampata mnae-match
 
kama ana vigezo ntampa ajira kwani mapenzi si lazima yawezekana sikuwa na vigezo alivyo hutaji.
 
Kama ana sifa unatakiwa kumpa kazi.
kukukataa sio sababu ya wewe kumtosa.
Utakuwa na akili ndogo sana ukimnyima ajira kama ana sifa stahili.
Ulitaka awakubali wangapi

Sawa mkuu na ajue kuanza kuoata kazi sio guarantee ya kuwa successful wako wengi tu wa aina ya mawazo mgando na mpaka sasa hakijaeleweka kwa sababu ya roho kunjifu

Kweli yaani uanze kukumbuka vichocheo vya zinaa halafu uanze kuweka uhusiano na kazi inayobeba maisha ya mwanadamu mwenzako

Takehome kwa mtoa maada; Imagine huyo dada ni mchumba au mkeo ameomba kazi kaitwa interview ume-mdrop na kumpa baraka zote halafu jioni unamuuliza yaliyojiri anakupa mkasa kama huo!!!!!!!!!

Ama kweli mafisadi wapo wengi na tunahitaji umakini kuwabaini na kuwatokomeza wote
 
Tenda wema uende zako (alafu kumbuka hapo utakuwa hutendi wema..) ni kazi yako kumuhudumia yoyote anayekuja ofisini regardless halikukataa wala kukukubali,

Kama anavigezo vya kutosha kama ni kazi au kama ni kazi yako kutatua matatizo huna budi kufanya kazi yako

Business.. Never Personal...
 
Katika maisha yangu I really hate kumpata msichana eti kwa sababu ya shida zake, so kwangu mimi nachokiona kama yuko qualified unampatia kazi na pia kiustaraabu unakaa kimya mpaka hapo ajiskie mwenyewe na kama bado msiomamo wake upo pale pale mwache maana huenda hakukuambia ukweli ana mtu wake ambae wametoka nae mbali so stay away from her please hata kama umemsaidia kupata kazi.Kwani wewe katika maisha yako umesaidiwa mangapi na mangapi uliweza kurudisha shukrani
 
kama ana qualifications za kazi na hapo ofisini kwenu mnahitaji kama yeye mpe kazi,ila kama hana mchane tu kwamba hamhitaji mtu kama yeye,na kumpa moyo kwamba ukipata mchongo mwingine utamshtua,kama atafanikiwa kupata kazi hapo,weka social distance kwanza maana anaweza akakupenda kwa ajili ya cheo chako,sio wewe kama wewe,,,,nakushauri utazame mbele,wadada wako kibao tu,jaribu kutafuta zaidi utampata mnae-match

nukuta. songa mbele mkuu
 
Back
Top Bottom