Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
[emoji23][emoji23][emoji23] Kama ni ya DIT basi huyo alikuwa mtu wa vibomuNilisikia alisomaa Degree DIT, na masters University of Tokyo.
Walete GPA yake hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee tupu.[emoji23][emoji23][emoji23] Kama ni ya DIT basi huyo alikuwa mtu wa vibomu
Sijui kiingereza lakini naona ni kosa la kizembe kwa mtu aliekuwa makini hata St. Kayumba darasa la 5 B kuandika your badala you are.Intelligence na elimu ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa na GPA ya 5 lakn your not intelligent...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu engineer wa utopolo anachojua n kurembua na kulegeza sauti wakati anahojiwa kichwani hamna kitu